Tunachofanya ni kukubaliana na muhusika channel zipi anahitaji kutokana na mapenzi ya wateja,nikimaanisha channel pendwa,baada ya hapo tunainstall channel idadi iliyotakiwa then tunatengeneza master chumba maalumu,tukiwezesha vyumba vyote vya hotel kuingia channel zote zilizohitajika na kufanya kila mteja aliye chumba alichopanga kujibadilishia channel...
Oct 7, 2010
APARTMENT INSTALLATIONS
Wengi wanapenda kufunga DSTV huku local na channel nyengine zikiachwa kwa wapangaji wenyewe kama wanahitaji kutokana na ukweli kwamba wapangaji wengi wa Apartment si wenyeji wa Tanzania hivyo hawaoni umuhimu wa kuangalia channel za nyumbani wakiamini TBC inawatosha ambayo inapatikana...
C BAND SINGLE SOLUTION CABLE

Hiki ni kifaa ambacho kinauwezo wa kukabiliana na interfierence sehemu zilizo na minara mitambo mitambo nk.Pia kuna channel ambazo hazipatikani mpaka utumie Single solution cable c band LNB haijarishi kama kuna interfierence ama l...
TOFAUTI YA RECEIVER NA DECODER

Decoder ni kifaa kinachopokea Channel ambazo zipo fixed kwa mfano DSTV,ni lazima ziwe zinalipiwa na kampuni husika,hii inamaana huwezi kupata bure labda wenyewe waamue hivyo ama upite wizi.
Receiver ni kifaa kinachopokea channel zote zilizopo kwenye satellite,haijarishi...
Baada kufa GTV...!!

Ni wazi kwamba ni watanzania wengi wameathirika na uyeyukaji wa GTV wamejikuta wamebakia na Decoder wasijue wazifanyie nini huku wengine wakijipa imani ya kuwa ipo siku watarejea....!!Decoder ya GTV unaweza ukaitumia kwa kutumia dish lake lile lile unaweza ukaona channel zipatazo...
JUA USICHOKIJUA..........!!!

Kwa channel za nyumbani Tanzania si zote ambazo zinapatikana kwenye Satellite Dish Antenna,kwa sababu TV station nyengine wanatumia Transmeter kurusha matangazo yao hivyo channel yeyote ambayo inatumia Transmeter haipatikani kwenye Dish,nikiwa na maana ya kuwa itakulazimu...
Sep 15, 2010
ARABSAT

Hii inajumuisha Dish kubwa cband,Receiver,LNB,Cable na Installations!
Unapata kama channels 29!
KUHAMISHA Tsh 50,000/=
KUFANYA REPAIRING Tsh 30,000/=
KUFANYA INSTALLATIONS Tsh 50,00...
DSTV INSTALLATIONS

DSTV SINGLE VIEW
Kwa sasa offer imeisha kwa Tsha 169,000/= unapata vifaa pamoja na Installations ya single view!!
Then unachagua package uipendayo na kuilipia kwa utaratibu uliowekwa kama ifuatavyo:-
Access $10 - Channels 40. Kama Tsh 16,000.
Family $20 - Channels...
Sep 14, 2010
Abudhab TV

Hii ni ya waarabu na ili upate lazima ununue Arabuni,bei inategemea na jinsi utakavyopata namaanisha zile njia za kuagiza!!
Hii inakuwa ni Decoder inakuwa na air time ya miezi 12!!
Itakapoisha itakulazimu kulipia tena kwa mwaka kwa utaratibu utakaopewa!
Sisi ambacho tunafanya...
Mar 16, 2010
Kazi za Diseqc switch

Inaitwa Diseqc switch ni switch mojawapo katika mfumo wa satellite dish antenna.Kazi yake ni kuunganisha LNB zaidi ya moja,ama unaweza kusema Dish zaidi ya moja kwa wakati mmoja na channel zote kuingia kwenye receiver moja na kuweza kuona hata channel zaidi ya 200...