
Ni huduma ambayo haina muda mrefu sana ambayo naweza nikasema ni mpya toka DSTV inakuwezesha kuona channel 2 tofauti kwa wakati mmoja kwa kutumia decoder mbili ila a/c moja kinachozidi ni $10 tu ya malipo ya mwezi,pia unatumia dish moja ila LNB inakuwa ya njia 2 maana kila decoder...