Watanzia tulizoea ili picha ya TV ionekane clear na uweze kupata channel za nyumbani na za nje kwa kutumia Decoder/Receiver sambamba na Satellite Dish Antenna,ila sasa ni tofauti maana unaweza ukatumia Decoder na Antenna ukapata channel clear kabisa.Ilianza EASY TV ijapokuwa hawajajitangaza vema ila kiukweli wamekuja vizuri na bado wanafanya vizuri...
Dec 3, 2010
UFUNDI si uchafu bali ni tabia ya mtu.....!!!

Hii inatokana na ukweli kwamba mshangao umekuwa mkubwa sana mtu nikimwambia mimi fundi.....!! hata nikimwambia habari ya kuhusu madish anadhani ya kuwa labda mimi ni sales yaani nitaongea nae then wafungaji wataenda wengine mwisho wa siku inakuwa tofauti na adhaniavyo...!!wananikuta...
CRDB bank na pita pita zangu....!!!

Katika mwaka huu banaa nimepata wasaa ya kupita pita katika matawi kadhaa ya CRDB bank,nilianzia pale Mliman city branch,nikaja pale Azikiwe branch na leo nipo hapa Mikocheni branch.
Hili bana ni tawi jipya,hapa ilifungwa DSTV ila ikawa kesi kubwa ni kupoteza signal,katika...
Nov 25, 2010
CNZA 2MEREJEA TENA....!!!

Leo nipo pande za cnza karibu kabisa na nilipozaliwa naamaanisha nyumbani,hapa nili install DSTV miezi kadhaa iliyopita ila leo nimerejea tena kuinstall FTA kwa ajili ya local channel na channel za gospel na mambo yalikuwa as usually:-
...
Nov 24, 2010
Offer ya DSTV sawa na bure.....!!!

Huu ndo wakati wa kwenda level 7bu tu wote 2na tambaa na DSTV,ni offer ya ukweli sana kama mzunguko wa money upo...!!
Ambacho unatakiwa kufanya kama wewe ni mpenzi wa Movie hapa ndo maana pake picha mpya ambazo hata unaweza ukatafuta CD zake ukazikosa 7bu ya upya lakini...
GREEN ACRES BULDING ILIVYOKUWA....!!

Hapa c mahali pa geni kwa wakazi wa Dar es salaam ijapokuwa jengo hili halina muda mrefu sana toka kujengwa,hapa kuna office tofauti tofauti na ambacho kimetokea nilitakiwa ku7babisha watu waangalie TV kwani kuna fundi alikuwa ameinstall Satellite Dish,ambayo ni c band...
MAGOMENI MAPIPA ILIKUWA MKAZUZU...!!

Najisikia vizuri pale ninapofanya mazuri ninapokuwa viwanja vya nyumbani ama kufanya kazi na watu ambao still ndo wanaonizunguka daily.....!!Leo wadau nimeibukia pande za kitaa,hapa nili install GTV enzi za uhai wake na baada ya kufa nikabadili na kuwa channel za free za mbc,hiyo...
Nov 23, 2010
GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL...!!

Ilikuwa ijumaa tulivu sana na kwa siku hii nilianzia hapa Giraffe hotel katika sehemu iitwayo jety 1, hapa nili install DSTV na mambo kuwa mazuri..!!
Kwa wale wasiopajua hapa ni Dar maeneo ya mbezi beach Africana katika hotel iitwayo giraffe kuna ukumbi ambao upo baharini...
IN KIBAMBA.......!!!

Hapa bana ni hostel kama ulikuwa hujui ila inaonekana ni za mtu binafsi kaamua kujenga na kuwapangisha wanafunzi,hizi hostel hazipo mbali sana na chuo ambacho huyu jamaa anasoma,aliona itakuwa vizuri zaidi akiwa anacheck na DSTV kipindi anachokuwa anabukua:-...
Nov 21, 2010
C Band Single Solution Cable!!
Mustapha MaDish12:59 AMCAPITAL TV, CHANNEL 10, EATV, Hotel Installation, ITV, STARTV, TBC
No comments

Hii ni kwa wale wanaokaa sehemu zenye shida kupatikana Signal,kama mabondeni,karibu na minara ama wamezungukwa na mitambo mitambo!!
C band hii hutumika kwenye Dish ya C band tu ijapokuwa kuna KU ambazo zinahimili interference pia kama ilivyo hii isipokuwa mara nyingi...