
2010 inaishia na sikukuu nazo ndivyo hivyo zinamalizika malizika kwa mwaka huu...!!Kila mtu,kila nyumba,maofisi nk. watu wana mishe mishe za sikukuu ya x-mass na mwaka mpya,si mbaya nami nikawatakia maandalizi mema mpaka kufikia sikukuu wadau wote popote mlipo...!!La msingi...