Call / WhatsApp +255755949413

Dec 26, 2010

Boxing day nime7babisha like this......!!!

Ikiwa ni siku 1 baada ya kusherehekea sikukuu ya x-mass,kilichofuata ni kupeana zawadi kwa kwenda mbele nami nina wangu wa kuwapa banaa...!!Unadhani zawadi kwangu itakuwa ni nini kama si ku7bisha ili wengine wafurahie na familia zao na maisha yaweze kusonga mbele kama ilivyo...
Share:

Dec 25, 2010

Near at Bondeni Hotel Magomeni mapipa

Hapa ufundi ukiendelea Mcheza kwao hutunzwa na ndivyo ilivyo kila siku ziendazo kwa mungu,hapa ni Magomeni mapipa yaani ni mitaa ya nyumbani wenyewe wanasema mitaa ya kujidai ni karibu na Bondeni hotel ambayo inaonekana kwa mbele kule yenye rangi nyeupe kwa wenye macho....!!Hapa...
Share:

Dec 24, 2010

Tuanaendeleza mbio kama kawaida....!!

Unaambiwa kimbia kipindi wenzio wanatembea....!!Ila mbio ukimbiazo isije ikawa upo nje ya mstari kiasi kwamba unachoka kabla ya kufika utakapo...!!Mda huo yule aliyekuwa ananyata anakupita kama anamsukuma mlevi vile...!!Nashukuru mpaka kufikia hapa ila kiukweli nipo bize sana...
Share:

Dec 21, 2010

Nawatakia x-mass njema wadau...!!

2010 inaishia na sikukuu nazo ndivyo hivyo zinamalizika malizika kwa mwaka huu...!!Kila mtu,kila nyumba,maofisi nk. watu wana mishe mishe za sikukuu ya x-mass na mwaka mpya,si mbaya nami nikawatakia maandalizi mema mpaka kufikia sikukuu wadau wote popote mlipo...!!La msingi...
Share:

MAFUNDI WA DSTV NA DISH NYENGINE ZA BURE!!

 Je umewahi kukutana na usumbufu wa Mafundi wenye uwezo mdogo ama usumbfu wowote!!?? Je unahitaji kufunga DSTV mpya kwa bei halali bila kuongeza cha juu!!??Je unahitaji kufunga Dish yenye channel za bure na ukaondokana na usumbufu wa kila siku kuita ita fundi!!?    Fund...
Share:

Dec 20, 2010

Zijue channel za nyumbani zinazopatikana kwenye Dish..!!

Hizi ndizo channel za Tanzania zinazopatikana kwenye Satellite Dish,ambayo inaanzia ft6 na kuendelea kwa kutumia C band lnb 1.Unaweza ukajiuliza inakuwaje mtu anafunga dish kwa channel hizo tu,ila ambacho kitakuongezea ni channel za nje zikiwemo habari,movie na mengineyo...!!Idadi...
Share:

Dec 19, 2010

Dish hii haina uwezo....!!

Dish ndogo ( ku satellite dish ) haina uwezo wa kukamata channel zilizopo cband kama kwa mfano channel za Tanzania,pia haina uwezo wa kuondoa chenga zilizopo kwenye Antenna uliyofunga kwa ajili ya local kwani haina muingiliano wowote na channel zilizopo kwenye transmetter zaidi...
Share:

Watu wanavyotafuta pesa......!!!

Ili mkono uende kinywani na hata ukikosa kicheko basi likutoke tabasamu ni lazima pesa zikutembelee,hata zikiwa za msimu na kwa kulijua hilo ndo maana watu wanaamka asubuhi wanajituma sana ilihali ankala ipatikane na maisha yaweze kwenda as usually banaa....!!Kipindi wewe unaumia...
Share:

EURO MIND Antenna

Si wanainchi wote ambao wana uwezo wa kufunga Dish ama king'amuzi kutokana na hali ya maisha jinsi ilivyo na kwa upande wa pili pia si channel zote za nyumbani zinazopatikana kwenye Satellite Dish ama hata penye king'amuzi pia,hivyo swala la Antenna linabaki pale pale kwamba...
Share:

KU na minara dam dam....!!

 Lau ingelikuwa nainstall C band hakika ningekesha bila kuwa na single solution cable kwa kuwa kungekuwa na kitu kinaitwa interference maana uwapo mnara either wa simu ama mitambo mitambo Satellite Dish hasa C band linakuwa kama linakingwa hivi ama kupungua uwezo wake wa...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4650062

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413