Call / WhatsApp +255755949413

Jun 6, 2012

KARIBUNI WAPENDWA!!

Tarehe 10.06.2012 jumapili,40 ya baba yangu marehemu ESMAILY O.HANYA hivyo kama utapata chance karibu sana,inafanyika nyumbani kwake Magomeni Mapipa,Idrisa street no.27,karibu na delux bar/chipolopolo bar/kwezi dispensary,itakuwa saa 7 mchana!! Nawakaribisha wote ndugu jamaa na marafiki wa ukwe...
Share:

May 19, 2012

NITANUNUA VING'AMUZI VINGAPI!!??

Tarehe 31.12.2012 saa 23:59 itakuwa mwisho wa Local channel kupitia c band na Antenna pia na ili upate Local itakulazimu ununue king'amuzi ama ving'amuzi kutokana na channel za Tanzania utakazo!! Mawazo yangu binafsi kulikuwa na mapungufu mengi sana kwenye mchakato huu na mwisho wa siku inaonyesha dhahili wakuu walikurupuka hawakufikiri kwa kina...
Share:

May 5, 2012

TULIKUPENDA ILA MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI

Nipo hapa kuwataarifu habari ya msiba wa baba yetu mpendwa MR ESMAILY OMARY HANYA wa magomeni mapipa mtaa Idrisa no.27. Napenda kunukuu maneno ya mwenyewe MUSTAPHA ESMAILY O.HANYA kwa wadau wake wa blog hii "Muda mwingi sikuwa hewani kwasababu nilikuwa namuuguza baba yangu ambaye kwa bahati mbaya jana ametutoka na mazishi yanakuwa leo saa kumi jioni...
Share:

Apr 10, 2012

RIPOTI KAMILI YA MADAKTARI!!

NI BAADA YA JOPO LA MADAKTARI MUHIMBILI KUMFANYIA UCHUNGUZI MPENDWA WETU S.KANUMBA.   MSANII nyota wa filamu nchini, Steven Kanumba amefariki dunia kutokana na tatizo la mtikisiko wa ubongo linalojulikana kitalaamu kama Brain Concussion, taarifa za kitabibu...
Share:

Apr 7, 2012

TOKA MOYONI IMENIUMA SANA!!

Sometimes unaweza ukakufuru na kutamani afe mtu fulani na aliyekufa akabaki,kutokana na mapenzi yako kwake ila aliyeumba ndiye kila kitu anaamua amchukue nani na muda gani,ukiangalia sana wale wazuri mara nyingi wanakuwa na uhai mdogo ila wale pasua wanaishi miaka miiingi ila...
Share:

Mar 26, 2012

WADAU SAMAHANI...

Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu na umuhimu wa hii kitu kwenu tumeshindwa kuimaliza kurekebisha hii blog on time hivyo chochote ambacho mtakiona kipo tofauti na hii blog ni katika jitihada za kuboresha na soon itakuwa vizuri zaidi katika muonekano mpya na bora zaidi. Unaweza kushiriki nasi kwa chochote ambacho unadhani tunaweza kufanya...
Share:

Mar 21, 2012

PATA KILICHO BORA!!

Wengi wanashida ya kupata Installer wenye uwezo na huduma bora!! Hii ndo solution yenu!! Kama wewe ni mmiliki wa Hotel ama unataka kujenga Hotel ama zile nyumba za wenyeji na hujui wapi utapata mafundi wenye uzoefu na kutoa ushauri kabla ya kufungiwa Channel unazotaka na...
Share:

Mar 17, 2012

FUFUA DISH LAKO LEO!!!

Aliyebahatika kufufua Dish lake!! Nimegudua kuna Dish nyingi katika nyumba nyingi ambazo hazifanyi kazi zimekaa tu kama uchafu ama urembo!! yanini kukaa na kitu kisicho na manufaa!!...
Share:

Jan 10, 2012

LOCAL CHANNELS ZATULIA KWENYE FUTI 6!!

Baada ya kusumbua muda mrefu hatimae Channels za Tanzania zote zilizopo kwenye Satellite zatulia! Tatizo ilikuwa kama zinatulia za V za H zitasumbua na Zikitulia za H za V zitasumbua,tatizo hili huwa linatokea mara kwa mara na wala sitaki kuamimni kama ndio limeshakuwa...
Share:

Jan 3, 2012

FREE CHANNELS

Kwenye Dish ndogo kuna channels nyingi za bure,inategemea na wewe unahitaji channels za vipi!!Lakini kwenye Dish ndogo hupati channels hata moja ya Tanzania. Kwa maelezo zaidi usisite kuuliz...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645507

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413