Hakuna sababu ya kufunga Dish zaidi ya moja ya aina moja kwa nyumba moja kwasababu tu una TV zaidi ya moja na unahitaji channels zipatikane kwa TV zote!
Hii inatumika kama kwenye Hotel au Lodge lakini pia inaweza ikatumika hata maofisini ama hata nyumba binafsi!!Ambacho unapaswa kufanya ni kujua channel gani unataka na je ni za bure ama za kulipia...
Jul 28, 2012
CHANNELS ZA BURE!!

Wengi wanapenda kupata channel ambazo hazina malipo ya mwezi,ambazo ukifunga inakuwa ndo umefunga labda iharibike dish na ahitajike fundi afanye ufundi wake!!
Channels zipo nyingi sana ambazo hazina malipo ya mwezi ila ambacho huwezi zile channels zilizo hotest za...
Jul 20, 2012
Dish yako inasumbua!!??

Dish c Antenna za tube ukasema ikileta mushkeri ushike bomba na kuzungusha!!Dish inahitaji ufundi na mafundi wake kama sisi!!Swali je dish yako inasumbua!!??Kama kupoteza signal!Picha kukata kata!Unataka kuhama!Umenunua uliponunua lakini huna mafundi wa kukufunga!Na...
Jul 1, 2012
DSTV OFFER!!!!149,000/=

Kwa Tsha 149,000/= unapata vifaa pamoja na Installations ya single view!!
Then unachagua package uipendayo na kuilipia kwa utaratibu uliowekwa kama ifuatavyo:-
Access $10 - Channels 40. Kama Tsh 16,000.Kwa offer unalipia 4 miezi.
Family $20 - Channels 55. Kama Tsh 32,000.Kwa...
Jun 21, 2012
DSTV KWENYE RECEIVER IMEKUFA!!

Hii ni Receiver
Zamani ilikuwa unaweza ukanunua Receiver yeyote ambayo inasoma card then unaenda DSTV wanakuuzia smart card kisha wanalink baada ya hapo unakuwa mteja bila kununua Decoder hii ilikuwa inamfanya mteja kuweza kupata Channels za DSTV na zile za bure kama...
Jun 6, 2012
KARIBUNI WAPENDWA!!
Tarehe 10.06.2012 jumapili,40 ya baba yangu marehemu ESMAILY O.HANYA hivyo kama utapata chance karibu sana,inafanyika nyumbani kwake Magomeni Mapipa,Idrisa street no.27,karibu na delux bar/chipolopolo bar/kwezi dispensary,itakuwa saa 7 mchana!!
Nawakaribisha wote ndugu jamaa na marafiki wa ukwe...
May 19, 2012
NITANUNUA VING'AMUZI VINGAPI!!??
Tarehe 31.12.2012 saa 23:59 itakuwa mwisho wa Local channel kupitia c band na Antenna pia na ili upate Local itakulazimu ununue king'amuzi ama ving'amuzi kutokana na channel za Tanzania utakazo!!
Mawazo yangu binafsi kulikuwa na mapungufu mengi sana kwenye mchakato huu na mwisho wa siku inaonyesha dhahili wakuu walikurupuka hawakufikiri kwa kina...
May 5, 2012
TULIKUPENDA ILA MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI
Nipo hapa kuwataarifu habari ya msiba wa baba yetu mpendwa MR ESMAILY OMARY HANYA wa magomeni mapipa mtaa Idrisa no.27.
Napenda kunukuu maneno ya mwenyewe MUSTAPHA ESMAILY O.HANYA kwa wadau wake wa blog hii "Muda mwingi sikuwa hewani kwasababu nilikuwa namuuguza baba yangu ambaye kwa bahati mbaya jana ametutoka na mazishi yanakuwa leo saa kumi jioni...
Apr 10, 2012
RIPOTI KAMILI YA MADAKTARI!!

NI BAADA YA JOPO LA
MADAKTARI MUHIMBILI KUMFANYIA UCHUNGUZI MPENDWA WETU S.KANUMBA.
MSANII nyota wa
filamu nchini, Steven Kanumba amefariki dunia kutokana na tatizo la mtikisiko wa
ubongo linalojulikana kitalaamu kama Brain Concussion, taarifa za kitabibu...
Apr 7, 2012
TOKA MOYONI IMENIUMA SANA!!

Sometimes unaweza ukakufuru na kutamani afe mtu fulani na aliyekufa akabaki,kutokana na mapenzi yako kwake ila aliyeumba ndiye kila kitu anaamua amchukue nani na muda gani,ukiangalia sana wale wazuri mara nyingi wanakuwa na uhai mdogo ila wale pasua wanaishi miaka miiingi ila...