Call / WhatsApp +255755949413

Sep 1, 2012

UZURI WA FLAT SCREEN KWA UKUTA!!

Kwanza inapendeza asikwambie mtu,ipo salama pia na haichukui nafasi kubwa,zaidi ya yote unakuwa wa kisasa zaidi na ambaye unakwenda na wakati,kama bado upo nyuma huyu ameshakuacha!! Si kama nauza TV flat laa ila ambacho nafanya ni kufunga tu kama hivi,hii ni office ila nilianzia...
Share:

Aug 23, 2012

MWENDO NDO ULE ULE!!

Wenye kujua wataendelea kujua na wasiojua sitaacha kuwajuza! Hiki ni chumba cha kulala,matakwa ya mteja ndivyo nilivyoyatimia!Kwa kufunga Flat screen hapo ilipo na DSTV!!  Unaonaje kulivyopendeza!!  Mimi je!!  Ng'aa!! Nikachukua kilicho changu na...
Share:

Aug 11, 2012

OFFER KWA WATEJA WANGU WOTE!!

Kwa wale wateja wapya na wa zamani nafasi yako hii!! DISH MPYA YA LOCAL CHANNELS Tsh 280,000/=!! Inajumuisha vifaa vyote pamoja na ufungaji!! Unapata channel za Tanzania na nyenginezo za nje,ambapo inajumuisha zaidi ya Channels zaidi ya 50 bure...
Share:

Jul 29, 2012

INSTALLATIONS YA TV ZAIDI YA 1!!

Hakuna sababu ya kufunga Dish zaidi ya moja ya aina moja kwa nyumba moja kwasababu tu una TV zaidi ya moja na unahitaji channels zipatikane kwa TV zote! Hii inatumika kama kwenye Hotel au Lodge lakini pia inaweza ikatumika hata maofisini ama hata nyumba binafsi!!Ambacho unapaswa kufanya ni kujua channel gani unataka na je ni za bure ama za kulipia...
Share:

Jul 28, 2012

CHANNELS ZA BURE!!

 Wengi wanapenda kupata channel ambazo hazina malipo ya mwezi,ambazo ukifunga inakuwa ndo umefunga labda iharibike dish na ahitajike fundi afanye ufundi wake!! Channels zipo nyingi sana ambazo hazina malipo ya mwezi ila ambacho huwezi zile channels zilizo hotest za...
Share:

Jul 20, 2012

Dish yako inasumbua!!??

  Dish c Antenna za tube ukasema ikileta mushkeri ushike bomba na kuzungusha!!Dish inahitaji ufundi na mafundi wake kama sisi!!Swali je dish yako inasumbua!!??Kama kupoteza signal!Picha kukata kata!Unataka kuhama!Umenunua uliponunua lakini huna mafundi wa kukufunga!Na...
Share:

Jul 1, 2012

DSTV OFFER!!!!149,000/=

Kwa Tsha 149,000/= unapata vifaa pamoja na Installations ya single view!! Then unachagua package uipendayo na kuilipia kwa utaratibu uliowekwa kama ifuatavyo:- Access $10 - Channels 40. Kama Tsh 16,000.Kwa offer unalipia 4 miezi. Family $20 - Channels 55. Kama Tsh 32,000.Kwa...
Share:

Jun 21, 2012

DSTV KWENYE RECEIVER IMEKUFA!!

 Hii ni Receiver Zamani ilikuwa unaweza ukanunua Receiver yeyote ambayo inasoma card then unaenda DSTV wanakuuzia smart card kisha wanalink baada ya hapo unakuwa mteja bila kununua Decoder hii ilikuwa inamfanya mteja kuweza kupata Channels za DSTV na zile za bure kama...
Share:

Jun 6, 2012

KARIBUNI WAPENDWA!!

Tarehe 10.06.2012 jumapili,40 ya baba yangu marehemu ESMAILY O.HANYA hivyo kama utapata chance karibu sana,inafanyika nyumbani kwake Magomeni Mapipa,Idrisa street no.27,karibu na delux bar/chipolopolo bar/kwezi dispensary,itakuwa saa 7 mchana!! Nawakaribisha wote ndugu jamaa na marafiki wa ukwe...
Share:

May 19, 2012

NITANUNUA VING'AMUZI VINGAPI!!??

Tarehe 31.12.2012 saa 23:59 itakuwa mwisho wa Local channel kupitia c band na Antenna pia na ili upate Local itakulazimu ununue king'amuzi ama ving'amuzi kutokana na channel za Tanzania utakazo!! Mawazo yangu binafsi kulikuwa na mapungufu mengi sana kwenye mchakato huu na mwisho wa siku inaonyesha dhahili wakuu walikurupuka hawakufikiri kwa kina...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4640580

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413