Leo ni siku ya mapumziko baada ya kuzitafuta mwaka mzima!
Kwakuwa madish ndio yaliyoleta muunganiko wa issue zangu nyingi hivyo kupumzika bila kuzungumzia ama kugusa kadish hata kamoja itakuwa uongo maana nnachokikubali zaidi kwasasa ni madish na ndo sababu ya kufanya nifanye...
Dec 31, 2013
DSTV PREMIUM PACKAGE | CHANNELS 120+ | TSH 169,000
Mustapha MaDish11:12 AMdecoder, DStv Africa, DStv Channels, dstv super sport, dstv tanzania, DStv Technical Support, vifurushi vya dstv
No comments

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Premium
FTA
KBC
CITIZEN
TBC
STAR TV
CHANNEL 10
ITV
Clouds Tv
KTN News
K24
Bukedde Tv
WBS
NBS Tv
e Tv Africa
Dish
MICHEZO
SuperSport Blitz
SuperSport Select1
SuperSport 2Select
SuperSport 3 HD
SuperSport 1
SuperSport...
TUNAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA WADAU!!!

Mwaka ndo unaishia hivyo leo ikiwa Tarehe 31/12/2013 dah! yaani hata siamini wallah!!
La msingi nashukuru Mungu kwa kunijalia pumzi mimi,timu yangu nawe mdau wetu kama u bu kheri wa afya kama ilivyo sisi!!
Wapo wengi waliotamani kufika leo ila kwa mapenzi yake mungu hatunao...
Dec 27, 2013
POPOTE ULIPO TUPO NA WEWE

Mwaka tunaumaliza vema na tukisisitiza ya kuwa popote ulipo tupo nawe,king'amuzi chako kinakuweka karibu nasi huku ukiwa unaizunguka dunia ukiwa na tv yako!
USIHOFU ULIPO NI WEWE TU KUWA TAYARI KUPOKEA HUDUMA...
Dec 24, 2013
BONDENI HOTEL TUKIFUNGA AZAM TV

+255789476655 AU +255627985436 HUDUMA HII INAKUFIKIA
Kuelekea funga mwaka na Azam tv ikiwa inaendelea kufanya vizuri,nasi tukiendelea kutekeleza wajibu wetu kama kawa kama dawa!
Ndani ya Bondeni Hotel ya Magomeni Mapipa Morogoro rd.
Hapa Azam tv nayo ilionekana...
Dec 21, 2013
AZAM TV MTEJA WA KWANZA KUFUNGA MKULANGA!

Njiani kuelekea .......................!!!
Kuelekea funga mwaka kwetu ni mbio tu!!
Leo kazi ya kwanza tumeamkia mkoa Pwani wanapaita Mkulanga,hii mimi ni mara ya pili narejea kufunga Dish ila safari hii Azam tv ikiwa ndo imenirejesha nikiwa na mtaalamu mwenyewe...
Dec 20, 2013
BAADHI YA CARD ZA ALJAZEERA ZIMEFAIL!
Kuna baadhi ya wateja wa Aljazeera sports wanalia sasa kama si kuhaha na kudhani pengine ndo imeshakula kwao maana wanakosa jibu la uhakika kuhusu card zao!
Ukweli ni kwamba kuna baadhi ya card zimefail na tatizo ni la kwao wenyewe na kwa mujibu wao wanalifanyia kazi!
Je wewe ni miongoni mwao ama!!...
Dec 15, 2013
LOCAL CHANNEL ZINAZOPATIKANA DSTV

Awali ilikuwa TBC1 pekee,ambapo baadae ikaongezeka na STAR TV na hivi karibuni CHANNEL 10 nayo imeongeza idadi na kuwa channel 3 za Tanzania zinazopatikana DStv
...
Dec 13, 2013
JE NI NCHI NGAPI AMBAZO UNAWEZA KUONA AZAM TV!?

Niliwahi kupokea simu siku za hivi karibuni kutoka Nairobi,swali likiwa je kama atanunua Azam tv inaweza ikakamata! Jibu la swali hilo ama linalofanana na hilo ni hili kwenye hii picha hapa chini!
Angalia kwa umakini nchi ambazo ukifunga Azam tv inakamata kama...
Dec 12, 2013
NATAFUTA MAFUNDI WAZURI WA KUFUNGA SATELLITE DISH ANTENNA

Hili ni swali ambalo nahisi hata wewe unajiuliza katika walio wengi baada ya kushindwa kujua wapi mtapata mafundi wazoefu wa kufunga dish antenna aina zote!
Swali lako limepata jibu,tena jibu lililo sahihi kabisa!
Hapa ndipo mahali pake!
Tunafunga Dish Antenna aina zote kama...