Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Compact Plus
FTA
KBC
CITIZEN
TBC
STAR TV
CHANNEL 10
ITV
Clouds Tv
KTN News
K24
Bukedde Tv
WBS
NBS Tv
e Tv Africa
Dish
MICHEZO
SuperSport Blitz
SuperSport Select1
SuperSport 2Select
SuperSport 3
SuperSport 5
SuperSport...
Jan 26, 2014
Jan 24, 2014
LINAPOPITA LA KUCHEKESHA.......!!

Lazima kucheka ili siku ziongezeke!!
Ila mengine kiukweli yanamaudhi kupitiliza,tukiacha kibinafsi pia kikazi maana kazi yangu inahusisha watu wa aina tofauti kwa kipato,jinsia na hata uwezo wa uelewa kama si kufikiri!
Nianze na issue ya wale wateja...
Jan 21, 2014
DSTV TSH 149000/=
Offer inaendelea!!!
Full Installation- Tsh 149000/=
Unapata Dish,Decoder,Cable na Kufungiwa!
Baada ya hapo unachagua Package uipendayo kati ya zifuatazo:-
ACCESS-Tsh 16500/=
FAMILY-Tsh 33,000/=
COMPACT-Tsh 53000/=
COMPACT PLUS-Tsh 85,000/=
PREMIUM-Tsh 135,000/=
BEI MPYA YA VIFURUSHI Bofya Hapa
CONTACT
Office:+255789476655
Mobile:+255659161111
Yote...
OFFICE ZA TUCTA TUMEMALIZA KUFUNGA DSTV NA FLAT SCREEN!

Mwendo ni ule ule kazi nzuri ndo sababu ya kutufanya tunapata tenda zaidi kwa maana wateja zetu ndio mabango ya matangazo ya kazi zetu!
Office za TUCTA pale mnazi mmoja,siku ya kwanza nilienda kukagua kazi
Hapa nishakagua kazi siku ya kwanza.
Siku ya pili nikaingia...
Jan 18, 2014
OFFICE ZA TUCTA CREW IMEKAMILIKA HAPA!

Wanamwita Dume la Mamba!
Elias hapa a.k.a Driller!
Baba Fetty tena!
Dume la Pelege huyu wakujiita Chimpo!
Mustapha MaDish!
Wazee wa Kazi!
Hapa kazi tu!
...... na Baso!
Cable master,Mzee wa Bomba,Master...
Jan 8, 2014
BEI YA AZAM TV BURUDANI KWA WOTE

Hivi karibuni nilipokea simu ilinisikitisha sana kuhusu bei wanazouziwa watu hasa mikoani king'amuzi cha Azam tv na cha kushangaza zaidi hata hapa Dar kuna baadhi ya wakala wanauza bei juu tofauti na utaratibu uliowekwa,nilichogundua ni kwamba wengi wameingia kwenye hii...
Jan 1, 2014
TAREHE 1/1/2014 KIBAHA KONGOWE
Leo ni siku ya mapumziko baada ya kuzitafuta mwaka mzima!
Kwakuwa madish ndio yaliyoleta muunganiko wa issue zangu nyingi hivyo kupumzika bila kuzungumzia ama kugusa kadish hata kamoja itakuwa uongo maana nnachokikubali zaidi kwasasa ni madish na ndo sababu ya kufanya nifanye...
Dec 31, 2013
DSTV PREMIUM PACKAGE | CHANNELS 120+ | TSH 169,000
Mustapha MaDish11:12 AMdecoder, DStv Africa, DStv Channels, dstv super sport, dstv tanzania, DStv Technical Support, vifurushi vya dstv
No comments

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Premium
FTA
KBC
CITIZEN
TBC
STAR TV
CHANNEL 10
ITV
Clouds Tv
KTN News
K24
Bukedde Tv
WBS
NBS Tv
e Tv Africa
Dish
MICHEZO
SuperSport Blitz
SuperSport Select1
SuperSport 2Select
SuperSport 3 HD
SuperSport 1
SuperSport...
TUNAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA WADAU!!!

Mwaka ndo unaishia hivyo leo ikiwa Tarehe 31/12/2013 dah! yaani hata siamini wallah!!
La msingi nashukuru Mungu kwa kunijalia pumzi mimi,timu yangu nawe mdau wetu kama u bu kheri wa afya kama ilivyo sisi!!
Wapo wengi waliotamani kufika leo ila kwa mapenzi yake mungu hatunao...