
Hii ni hatua nyengine nzuri zaidi kwangu na kwa wadau wangu wale wa zamani na wapya pia..
Lengo likiwa lile lile kuwaelimisha yote yanayohusu ving'amuzi,kuwaonyesha kilicho bora ili ukiepuke kilicho feki..
Ingawaje kwenye blog hii sijawahi kutoa zawadi ila kipindi kitahusisha...