
Yawezekana mpaka sasa kwenye king'amuzi chako cha Continental channel zipo ila huoni picha kila ukibadili unakutana na kialama cha $ maana yake mpaka ulipie ehee tunalipiaje:-
Mteja wa continental. Kulipia kumeanza tarehe 15 February 2016, baada ya kutokuwa na malipo...