
Waislamu tupo ukingoni katika kukamilisha moja ya nguzo muhimu katika dini yetu kama ambavyo tumeongozwa kutekeleza..
Leo ni chungu cha 28,bado siku moja ama mbili ili tumalize mfungo na tuingie kwenye Sikukuu ya Idd...
Nichukue nafasi hii kuwatakia kila la heri katika...