
Wapo ambao walikuwa wanautamani msimu huu wa maonyesho ya saba saba ufike ili waweze kununua mahitaji yao kwa punguzo la bei! Sasa StarTime Tanzania wanakuletea OFFER hii hapa
Katika msimu huu wa Sabasaba pata punguzo la bei la kufa mtu toka StarTimes (8% discount)...