Unapata ujumbe wa E48 kwenye kisimbuzi chako cha DStv!?
Hilo ni tatizo la signal na jinsi la kulitatua, cha kwanza angalia cable inayotoka kwenye dish na kuingia kwenye dish sehemu iliyoandikwa LNB IN ipo sawa haijachomoka!? Kama ipo sawa shida itakuwa kwenye dish hivyo tunapaswa kuja hapo kukutengenezea!
Kutokana na ukweli kwamba ujaji wa mfumo wa Digital kumekuwa na ongezeko kubwa la ajira kwa vijana kwa kuendana na wakati uliopo, mojawapo ya ajira hizo ni Ufundi wa kufunga Ving'amuzi. Mafundi wamekuwa wengi ambao wapo wenye sifa na wapo wasio na sifa..
Tuzungumzie mafundi wa DStv ieleweke kwamba kuna ofisi za Multichoice ( DStv ) baadhi ya mikoa Tanzania isipokuwa kuna mawakala karibia nchi nzima.. Wapo mafundi wa Multichoice na wapo mafundi wa mawakala pia kuna mafundi wa kujitegemea..
Mafundi wanaweza kukufanya wewe mteja either ufurahie huduma za DStv ama uzichukie kutokana na namna ya ufundi wake atakaokufanyia kwako!
Fundi wa DStv anapaswa kuwa na vifaa vifatavyo:-
- Satellite Finder ( kwa ajili ya kutafuta signal )
- Drill Machine ( kwa ajili ya kutobolea )
- Spana zote muhimu ( kwa ajili ya kufunga )
- Nyundo
Ukiachilia vifaa hivyo pia anapaswa kutumia vifaa vyote vitakavyokuwepo kwenye Dish katika ufungaji kwani kila kilichomo kina kazi yake na endapo kikiachwa hata kimojawapo yapo madhara ambayo yatakusababishia mteja wa DStv gharama zisizo za lazima na kupata ukakasi na huduma za DStv kutokana na picha kukatakata mara kwa mara, kuganda n.k
FUNDI WA DSTV ATAKUFUNGIA HIVI:-
Kwenye LNB kipokea Signal toka kwenye Satellite na Kupeleka kwenye Decoder ya DStv, Coaxial cable itafungwa vizuri..
kisha Coaxial cable itafunikwa na kifuniko maalumu cha kuzuia maji maji kuingia kwenye cable, maji ambayo yakiingia yanaweza kuleta madhara, kama kupoteza signal, kuunguza LNB n.k....
Kwa ufanisi huu hakuna sababu ya kopo, hapa hata kunguru hawezi kuharibu chochote, hata mvua ikinyesha hakuna madhara yatakayotokea, hata muonekano ni wa kuvutia...
Kuna mengi kwenye ufundi, je wewe una tatizo gani kwenye upande wa ufundi kwenye!?
- Unataka mafundi wa kukuhamisha kwenye nyumba mpya unayohamia
- Unataka mafundi huoni picha hata namba 100
- Unahitaji mafundi kwa ajili ya Extra view
- Mafundi kwa ajili ya Explora
- Unahitaji mafundi kwa ajili ya kufunga kwenye
- > Hotel
- > Lodge
- > Bar
- > Office
- > Apartment
Ushauri na yote yanayohusu mambo ya kiufundi DStv Piga +255784378129
Whatsapp +255658046655
Ukitaka kununua DStv bofya hapa
Insta @mustaphamadish