Call / WhatsApp +255755949413

Jan 20, 2011

Poleni sana wadau....!!

Baada ya mbio za mbali na nyumbani sasa nimerejea kama kawaida...!! Huku nikiwa nimeona na kujifunza meengi,kiukweli nimeongeza vitu vingi kwa muda mchache ambapo awali nilikuwa sina mawazo hayo,naomba niishie hapa najipanga ili tuweze kushea kile ambacho nimepata.....!!! Zaidi...
Share:

Jan 10, 2011

nimewamiss sana wajameni...!!

ebwana dah....!! Kitambo kidogo sipatikani hewani kwa no.za tz huku wengi nikiwapa shida jinsi ya kunipata na lawama zikiwa zimejaa gunia..!! Nipo sehemu ambayo ni nadra sana kukutana na mtu mwenye ngozi kama yangu nyeusi,pia kiswahili ndicho hakisikiki kabisaaa...!! Ila ni mbio tu i wish nitakuwa home soon banaa......
Share:

Dec 29, 2010

Mbio za funga mwaka ndani ya bwaga moyo.....!!

Tunahesabu siku tu kuelekea mwaka mupya mupya kabisa 2011,huku tukiumalizia malizia mwaka huu 2010,ukiniacha na kumbukumbu nzuri ya kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa kwa namba za kipekee ambazo kamwe hazitajirejea 10.10.10 maana nilizaliwa miaka kadhaa nyuma ikiwa ni tarehe 10 mwezi wa 10.Tukiyaacha hayo leo nipo bwagamoyo na nadhani nitakuwepo huku...
Share:

Dec 28, 2010

Kuelekea 2011 yapi mazuri na ya kupongeza 2010....!!

Kwa kuanza tu naweza nikasema kwa mwaka huu 2010 ni mwaka mgumu sana hasa kwa vijana,yananitoka haya kutokana na mazungumzo yao pale unapokaa nao,maana wenyewe wanakwambia hakuna njia kama milango inazidi kufungwa ili watu wasitoke,hivyo kipindi wao wanasema hivyo sijui wewe unasema aje kuhusu mwaka huu unaoishia.....!!Upande wa kazi banaa jua halikuwa...
Share:

Dec 26, 2010

Boxing day nime7babisha like this......!!!

Ikiwa ni siku 1 baada ya kusherehekea sikukuu ya x-mass,kilichofuata ni kupeana zawadi kwa kwenda mbele nami nina wangu wa kuwapa banaa...!!Unadhani zawadi kwangu itakuwa ni nini kama si ku7bisha ili wengine wafurahie na familia zao na maisha yaweze kusonga mbele kama ilivyo...
Share:

Dec 25, 2010

Near at Bondeni Hotel Magomeni mapipa

Hapa ufundi ukiendelea Mcheza kwao hutunzwa na ndivyo ilivyo kila siku ziendazo kwa mungu,hapa ni Magomeni mapipa yaani ni mitaa ya nyumbani wenyewe wanasema mitaa ya kujidai ni karibu na Bondeni hotel ambayo inaonekana kwa mbele kule yenye rangi nyeupe kwa wenye macho....!!Hapa...
Share:

Dec 24, 2010

Tuanaendeleza mbio kama kawaida....!!

Unaambiwa kimbia kipindi wenzio wanatembea....!!Ila mbio ukimbiazo isije ikawa upo nje ya mstari kiasi kwamba unachoka kabla ya kufika utakapo...!!Mda huo yule aliyekuwa ananyata anakupita kama anamsukuma mlevi vile...!!Nashukuru mpaka kufikia hapa ila kiukweli nipo bize sana...
Share:

Dec 21, 2010

Nawatakia x-mass njema wadau...!!

2010 inaishia na sikukuu nazo ndivyo hivyo zinamalizika malizika kwa mwaka huu...!!Kila mtu,kila nyumba,maofisi nk. watu wana mishe mishe za sikukuu ya x-mass na mwaka mpya,si mbaya nami nikawatakia maandalizi mema mpaka kufikia sikukuu wadau wote popote mlipo...!!La msingi...
Share:

MAFUNDI WA DSTV NA DISH NYENGINE ZA BURE!!

 Je umewahi kukutana na usumbufu wa Mafundi wenye uwezo mdogo ama usumbfu wowote!!?? Je unahitaji kufunga DSTV mpya kwa bei halali bila kuongeza cha juu!!??Je unahitaji kufunga Dish yenye channel za bure na ukaondokana na usumbufu wa kila siku kuita ita fundi!!?    Fund...
Share:

Dec 20, 2010

Zijue channel za nyumbani zinazopatikana kwenye Dish..!!

Hizi ndizo channel za Tanzania zinazopatikana kwenye Satellite Dish,ambayo inaanzia ft6 na kuendelea kwa kutumia C band lnb 1.Unaweza ukajiuliza inakuwaje mtu anafunga dish kwa channel hizo tu,ila ambacho kitakuongezea ni channel za nje zikiwemo habari,movie na mengineyo...!!Idadi...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413