Tarehe 31.12.2012 saa 23:59 itakuwa mwisho wa Local channel kupitia c band na Antenna pia na ili upate Local itakulazimu ununue king'amuzi ama ving'amuzi kutokana na channel za Tanzania utakazo!!
Mawazo yangu binafsi kulikuwa na mapungufu mengi sana kwenye mchakato huu na mwisho wa siku inaonyesha dhahili wakuu walikurupuka hawakufikiri kwa kina...
May 5, 2012
TULIKUPENDA ILA MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI
Nipo hapa kuwataarifu habari ya msiba wa baba yetu mpendwa MR ESMAILY OMARY HANYA wa magomeni mapipa mtaa Idrisa no.27.
Napenda kunukuu maneno ya mwenyewe MUSTAPHA ESMAILY O.HANYA kwa wadau wake wa blog hii "Muda mwingi sikuwa hewani kwasababu nilikuwa namuuguza baba yangu ambaye kwa bahati mbaya jana ametutoka na mazishi yanakuwa leo saa kumi jioni...
Apr 10, 2012
RIPOTI KAMILI YA MADAKTARI!!

NI BAADA YA JOPO LA
MADAKTARI MUHIMBILI KUMFANYIA UCHUNGUZI MPENDWA WETU S.KANUMBA.
MSANII nyota wa
filamu nchini, Steven Kanumba amefariki dunia kutokana na tatizo la mtikisiko wa
ubongo linalojulikana kitalaamu kama Brain Concussion, taarifa za kitabibu...
Apr 7, 2012
TOKA MOYONI IMENIUMA SANA!!

Sometimes unaweza ukakufuru na kutamani afe mtu fulani na aliyekufa akabaki,kutokana na mapenzi yako kwake ila aliyeumba ndiye kila kitu anaamua amchukue nani na muda gani,ukiangalia sana wale wazuri mara nyingi wanakuwa na uhai mdogo ila wale pasua wanaishi miaka miiingi ila...
Mar 26, 2012
WADAU SAMAHANI...
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu na umuhimu wa hii kitu kwenu tumeshindwa kuimaliza kurekebisha hii blog on time hivyo chochote ambacho mtakiona kipo tofauti na hii blog ni katika jitihada za kuboresha na soon itakuwa vizuri zaidi katika muonekano mpya na bora zaidi.
Unaweza kushiriki nasi kwa chochote ambacho unadhani tunaweza kufanya...
Mar 21, 2012
PATA KILICHO BORA!!
Wengi wanashida ya kupata Installer wenye uwezo na huduma bora!!
Hii ndo solution yenu!!
Kama wewe ni mmiliki wa Hotel ama unataka kujenga Hotel ama zile nyumba za wenyeji na hujui wapi utapata mafundi wenye uzoefu na kutoa ushauri kabla ya kufungiwa Channel unazotaka na...
Mar 17, 2012
FUFUA DISH LAKO LEO!!!

Aliyebahatika kufufua Dish lake!!
Nimegudua kuna Dish nyingi katika nyumba nyingi ambazo hazifanyi kazi zimekaa tu kama uchafu ama urembo!!
yanini kukaa na kitu kisicho na manufaa!!...
Jan 10, 2012
LOCAL CHANNELS ZATULIA KWENYE FUTI 6!!

Baada ya kusumbua muda mrefu hatimae Channels za Tanzania zote zilizopo kwenye Satellite zatulia!
Tatizo ilikuwa kama zinatulia za V za H zitasumbua na Zikitulia za H za V zitasumbua,tatizo hili huwa linatokea mara kwa mara na wala sitaki kuamimni kama ndio limeshakuwa...
Jan 3, 2012
FREE CHANNELS

Kwenye Dish ndogo kuna channels nyingi za bure,inategemea na wewe unahitaji channels za vipi!!Lakini kwenye Dish ndogo hupati channels hata moja ya Tanzania.
Kwa maelezo zaidi usisite kuuliz...
Oct 18, 2011
Dish thamani yake itabaki pale pale!!
Popote ulipo na popote utakapo unafunga.
Uzuri wa Satellite Dish Antenna ni popote ulipo ama utakapoamua kuweka makazi ukilifunga utakacho kuona utaona ikiwa clear bila chenga,Dish inakaa popote na Signal inaingia lakini lisikingwe ili kupata Satellite husika hii inamaana...