Call / WhatsApp +255755949413

Sep 29, 2015

CHANNEL ZA LOCAL BURE | VING'AMUZI VYOTE

Utatumia king'amuzi gani!!?? Swali la kwanza ambalo naweza kukuuliza.. Najua kwa mapenzi ya king'amuzi ulichokichagua na kukinunua ukiachilia mapenzi yako ila umehitaji kuona na Local Channel maana yake uone mambo yanayoendelea nyumbani kwako ikiwemo taarifa...
Share:

Sep 6, 2015

KIFURUSHI CHA NYOTA TSH 9,000 | TSH 11,000

Kifurushi hichi kinapatikana kwenye kisimbuzi cha Dish na Anntena, ambapo kwenye Dish ni Tsh 11,000 na kwenye Antenna ni Tsh 9,000 Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha Nyota:- Kuna zaidi ya channel 30! Channels za Dish:- Filamu na Tamthilia ST Zone AMC Movies Burudani ST...
Share:

Sep 3, 2015

TV 1 | IMEKUJA VIZURI SANA

  Hii ni tv ya kitanzania iliyoanzishwa mwanzoni mwa mwaka jana,ambayo imejikita zaidi kwenye burudani nami nimekuwa nikiifatilia niseme tu ukweli ni tv 1 kweli kwa ambacho wanakifanya! Inamilikiwa na kampuni ya sweden iitwayo ( MTG ) Modern Times Group. Usiniambia...
Share:

Sep 1, 2015

WAPENZI WA SOKA WAZIDI KULIA

Kwa siku kama nne hivi nimepokea simu nyingi sana zinazouliza kama kuna namna nyengine ya kuangalia mpira wa ligi za nje tofauti na dstv,sababu nikiuliza ni nini jibu jepesi sana ni kutokana na licha ya wadau kulalamika malipo ya mwezi yapo juu imeongeza tena toka leo hii...
Share:

Aug 31, 2015

SPORT PLUS | TSH 14,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha ziada cha Sport plus:- Kuna channel 4! SPORT ARENA SPORT PREMIUM SPORT LIFE WORLD FOOTBALL MSAADA KIUFUNDI |USHAURI | CHOCHOTE KUHUSU STARTIMES | +2557894766...
Share:

Aug 24, 2015

STARTIMES CHANNELS | KIFURUSHI CHA SUPER TSH 36,000

Malipo: Kwa mwezi Tsh 36,000 Kwa wiki Tsh 12,000 Kwa siku Tsh 3,600 Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha Super:- Kuna zaidi ya channel 95! Filamu na Tamthilia ST Zone ST Sino Drama ST One St Yoruba AMC Series AMC Movies ST Africa 2 ST Novela E1 St Novela E Plus St...
Share:

Aug 17, 2015

STARTIMES CHINESE PACKAGE | KIFURUSHI CHA WACHINA | TSH 43000

  Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha Chinese:- Kuna zaidi ya channel 84 zikijumuisha na channel zote zilizopo kwenye kifurushi cha Smart!     samahani post hii haijakamilika.. itakamilika hivi punde....         KWA HUDUMA |USHAURI | CHOCHOTE KUHUSU STARTIMES | +2557894766...
Share:

Aug 13, 2015

KIFURUSHI CHA AZAM SPORT | AZAM SPORTS PACKAGE | TSH 15,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha azam sports HD:- Kuna jumla ya channel 4 kwa sasa  Azam sports HD Liverpool tv Real Madrid tv Manchester tv  ...
Share:

Aug 12, 2015

AINA YA DECODER ZA CONTINENTAL

MODEL TYPE: HIGH DEFINITION H 264 T2 SET TOP BOX MODEL NUMBER : TT2-5173 PRICE: 95,000/= ACCESSORIES: FREE INDOOR ANTENNA FEATURES: MPEG2/MPEG4/H.264 High Definition resolution Fully DVB –T2/T/C compliant Record live TV to USB 2.0 through flash disk or external...
Share:

Aug 10, 2015

STARTIMES INDIAN PACKAGE | KIFURUSHI CHA KIHINDI | TSH 18000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha Nyota:- Kuna zaidi ya channel 8! BOLLYWOOD HD STAR GOLD STAR PLUS ZOOM TIMES NOW ST PLUS ZEE CINEMA ZEE TAMIL MSAADA KIUFUNDI |USHAURI | CHOCHOTE KUHUSU STARTIMES | +25578947665...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645524

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413