Unapata ujumbe wa E48 kwenye kisimbuzi chako cha DStv!?
Hilo ni tatizo la signal na jinsi la kulitatua, cha kwanza angalia cable inayotoka kwenye dish na kuingia kwenye dish sehemu iliyoandikwa LNB IN ipo sawa haijachomoka!? Kama ipo sawa shida itakuwa kwenye dish hivyo...
Apr 17, 2018
Apr 5, 2018
DSTV Tsh 79,000/= | KIFURUSHI BURE | TUNAKULETEA BURE

Baada ya ile Offer kubwa iliyodumu kwa muda mrefu kumalizika..!! Bado Multichoice Tanzania imeona kuna kila sababu ya kuangalia namna ya kuwatafutia punguzo lengine ili muweze kufurahia huduma za DStv na sasa ni hii hapa kwa Tsh 79,000 tu unapata vifaa vyote pamoja na kufungiwa...
Mar 30, 2018
YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla!
Najua
alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine
siwasaidii kwa wakati naomba tusameheane kwa kuwa majukumu nayo yamekuwa
meengi na sio muda wote napitia hii blog, hivyo naomba niwape njia
nyepesi ambayo nitakuwa...
Mar 28, 2018
STARTIMES CHANNEL 5 BURE HATA USIPOLIPIA

Startimes ni moja kati ya ving'amuzi ambavyo vinapaswa kuacha channels za Tanzania uzione bure hata kama malipo yako yameisha.. Hii ni kwa Startimes ya Dish na Antanna..!
Je wewe ni mtumiaji wa Startimes na je unapata channel za tanzania bure hata usipolipia!?
Kwa maelezo...
Mar 12, 2018
OFFER MPYA YA DSTV INAKUFATA ULIPO!

Popote ulipo kwa Dar es salaam ikiwa unahitaji kisimbuzi ( Decoder ) ya dstv unachopaswa kufanya ni kupiga tu simu namba 0789476655 kisha kwa Tsh 79,000 tu unaletewa mpaka ulipo na kufungiwa!
- Utapata vifaa vyote kama:-
Dish
LNB
Decoder HD
HDMI cable
AV cable
Adapter
Remote...
Feb 22, 2018
CHANNEL ZA TANZANIA NI BURE KWENYE VING'AMUZI

Imekuwa kuna kuulizwa kila siku na watumiaji wa ving'amuzi ni kwanini local channel hazibaki kwenye ving'amuzi baada ya kifurushi alicholipia kuisha, wakati huo huo ving'amuzi vyengine channels za local zinabaki!
Ni kwamba channels zinazotakiwa kubaki hata kama kifurushi chako...
Feb 15, 2018
Follow page yetu Instagram @mustaphamadish

Follow @mustaphamadish
Kwa habari zote za ving'amuzi ( Visimbuzi ) vya Tanzania kama:-
Azamtv
Continental
DStv
Digitek
Startimes
Zukutv
Ting n.k vya bure na kulipia..
Kujua:-
Bei
Offer zilizopo
Vifurushi
Msaada kiufundi
Kununua
Ushauri...
KING'AMUZI KITAKACHOONYESHA AFCON 2019 MECHI ZOTE

Ikiwa tunaelekea kwenye mashindano ya mataifa ya Africa AFCON kuna jambo la muhimu ambalo unapaswa kulijua ni king'amuzi gani kitaonyesha mechi zote live kutoka Egypt...!!??
King'amuzi kilicho na idhini ya kuonyesha mechi zote ni kimoja tu DStv!
Kama tayari...
Jan 21, 2018
STARTIMES KUWEKA CHANNEL ZA DSTV NA AZAM TV

Niliwahi kupata swali kama hili na nilishawahi kuona matangazo sehemu kadhaa mitandaoni ya kuwa kama unatumia king'amuzi cha Startimes tunaingiza channel za Azam tv na DStv na tangazo lengine kama unatumia king'amuzi cha azam tv unaingiziwa channel za DStv na Startimes pia....
Matangazo...
Jan 7, 2018
CHEAP CCTV CAMERAS INSTALLATION

Dunia imebadilika siku hizi ukiachilia umuhimu wa cctv cameras ni kupata ulinzi pia inakujuza kwa urahisi kinachoendelea muda ambapo wewe haupo na zuri zaidi unaweza ukapata kuona kinachoendea hata ukiwa nje ya nchi..
Tupo dar es salaam isipokuwa popote ulipo tanzania...