Call / WhatsApp +255673378129

Sep 15, 2010

ARABSAT


Hii inajumuisha Dish kubwa cband,Receiver,LNB,Cable na Installations!
Unapata kama channels 29!

KUHAMISHA Tsh 50,000/=

KUFANYA REPAIRING Tsh 30,000/=

KUFANYA INSTALLATIONS Tsh 50,000/=
Share:

DSTV INSTALLATIONS



DSTV SINGLE VIEW
Kwa sasa offer imeisha kwa Tsha 169,000/= unapata vifaa pamoja na Installations ya single view!!
Then unachagua package uipendayo na kuilipia kwa utaratibu uliowekwa kama ifuatavyo:-
Access $10 - Channels 40. Kama Tsh 16,000.
Family $20 - Channels 55. Kama Tsh 32,000.
Compact $30 - Channels 60. Kama Tsh 48,000.
Compact plus $50 - Channels 70. Kama Tsh 80,000.
Premiur $80 - Channels 100. Kama Tsh 128,000.
Unaweza ukapanda na kushuka kutokana na chaguo lako!
BEI MPYA YA VIFURUSHI Bofya Hapa

 DSTV EXTRA VIEW
 
Hii inatumia Decoder mbili na unapata channels 2 tofauti kwa A/c moja kinachozidi ni $10 kwa mwezi kwa package utakayoichagua!


DSTV HD DECODER
Ina uwezo wa kupeleka mbele,kurudisha nyuma,kusimamisha hata kama kipindi ni cha moja kwa moja,pia ina uwezo wa kurekodi saa 150!
Zaidi ya yote inaonyesha vizuri zaidi kuliko decoder za kawaida.
Hiiinajumuisha Dish ndogo,lnb ya njia 4,cable mt 100.Kwenye malipo ya mwezi inazidi $10 kutokana na kuongezeka channels kwenye HD DECODER unapata zaidi ya channels zile zanazopatikana kwenye SINGLE VIEW DECODER!
Pia unaweza ukawa na HD DECODER na ukafanya EXTRA VIEW kwa kuongeza DECODER nyengine ya SINGLE VIEW lakini pia itazidi $10 kwenye malipo ya mwezi!
Pia unaweza ukawa na HD na ukaongeza HD kwa EXTRA VIEW

KUHAMISHA DISH
Inategemea DSTV gani:Single view,Extra view,HD!!

KUFANYA REPAIRING
Inategemea DSTV gani:Single view,Extra view,HD!!

KUFUNGA MPYA
 Inategemea DSTV gani:Single view,Extra view,HD!! 

Pata huduma fasta na inakufuata mpaka ulipo!!
Piga +255 789476655
Offer ni mpaka kuisha kwa bidhaa!!
Share:

Sep 14, 2010

Abudhab TV


Hii ni ya waarabu na ili upate lazima ununue Arabuni,bei inategemea na jinsi utakavyopata namaanisha zile njia za kuagiza!!
Hii inakuwa ni Decoder inakuwa na air time ya miezi 12!!
Itakapoisha itakulazimu kulipia tena kwa mwaka kwa utaratibu utakaopewa!
Sisi ambacho tunafanya ukishakuwa na Decoder tutakusaidia kupata Dish.lnb,Cable pamoja na Installations.
 KUHAMISHA Tsh 50,000/=

KUFANYA REPAIRING Tsh 30,000/=

KUFANYA INSTALLATIONS Tsh 50,000/=

Share:

Mar 16, 2010

Kazi za Diseqc switch

 Inaitwa Diseqc switch ni switch mojawapo katika mfumo wa satellite dish antenna.
Kazi yake ni kuunganisha LNB zaidi ya moja,ama unaweza kusema Dish zaidi ya moja kwa wakati mmoja na channel zote kuingia kwenye receiver moja na kuweza kuona hata channel zaidi ya 200 ambazo zipo kwenye dish zote ambazo zimeunganishwa kwenye diseqc switch.
Kuna aina kadhaa za Diseqc:
  • Njia 2-inauwezo wa kuunganisha lbn 2 kwa wakati mmoja.
  • Njia 3-inauwezo wa kuunganisha lnb3 kwa wakati mmoja.
  • Njia 4-inauwezo wa kuunganisha lnb 4 kwa wakati mmoja.
  • Njia 6-inauwezo wa kuunganisha lnb 6 kwa wakati mmoja.
  • n.k
 Our service's more than your payments.
Share:

Jan 20, 2010

Local channel

      Kwa Tsh 320,000/=
Unajumuisha C band Dish ft6,LNB cband n KU,Cable mt30,Receiver,Diseqc switch na Installations TV moja.
Unapata kuona zaidi ya Channels 60 FREE!!!
Za Tanzania zikiwemo zifuatazo:
ITV
CAPITAL
EATV
ATN
TBC
CHANNEL 10
STAR TV
Ambazo sijazitaja hapo hazionekani kwasababu hazijajiunga na Satellite.

KUHAMISHA DISH LA LOCAL Tsh 50,000/=

KUFUNGA MPYA 50,000/=

KUREKEBISHA 30,000/=

USHAURI BUREE!!
Share:

Twende kazi...!!!

Kwetu kila kukicha tunacheza na mitandao kutaka kujua lipi jipya upande wetu huu ili tupate kwenda sawa na ya duniani,kila leo frequency zinabadilika na satellite kuhama hivyo ili wateja wetu waweze kupata ambacho wanakihitaji up to date,tunawatumikia sana kuliko wadhaniavyo...!!
Leo nipo maeneo fulani hivi wanapaita mbezi salasala,nili7babisha watu waone Local,Asia na Gospel channels...    Dish ilikuwa kitu new na hizi ni baadhi ya ambazo nilibahatika kuzipata alau:-









Share:

"njoo tukuonyeshe Original ili uiepuke Fake"

KARIBU KWENYE BLOG YETU ITAKAYOKUWA INAHUSU MAMBO YOTE YA MADISH KAMA UTAHITAJI ELIMU ZAIDI,USHAURI,MSAADA KIUFUNDI AMA KUHUDUMIWA HII NDIO SEHEMU SAHIHI KWAKO KARIBU!

FREE CHANNELS 
KWA DISH KUBWA


  • LOCAL CHANNELS ( Tanzania includes Mozambique n Angola )

* Seti yake inajumuisha vifaa vifuatavyo:-
1.Dish futi 6
2.Receiver
3.LNB c band
4.Cable mt 20
5.Connectors
* Unaweza kupata jumla ya channel 11 tu katika choice hii.
Kwa maelezo zaidi itakuja link



  • LOCAL CHANNELS,ASIA AND NIGERIA
1.Dish futi 6
2.Receiver
3.LNB c band pc 2
4.LNB KU
5.Diseqc switch
6.Cable mt 30
7.Connectors
* Unaweza kupata jumla ya channel 80 katika choice hii.
Kwa maelezo zaidi +255714973797


  • LOCAL CHANNELS,ASIA,KENYA AND SOUTH AFRICA

1.Dish futi 8
2.Receiver
3.LNB c band pc 3
4.Diseqc switch
5.Cable mt 30
6.Connectors
Share:

Oct 10, 2009

MUSTAPHA ISMAIL HANYA















Kitaaluma naitwa Mustapha MaDish na hii ndio sehemu sahihi ya kuonyesha kile kilichofanya nikaitwa Mustapha MaDish... Yote haya nafanya kwakuwa napenda kile nifanyacho kwa lugha nyepesi naipenda kazi yangu na siku zote ukiipenda kazi yako utaifanya kwa juhudi zako zote bila kusimamiwa na mtu!
Nilikuwa na wazo hili na nashukuru mungu leo nalitimiza,nitakapofanikiwa hili nitakuja na lengine zuri zaidi!
Ijapokuwa changamoto zilikuwa nyingi na haijawa kazi nyepesi hivyo ila nimefanikiwa nashukuru Mungu!
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa nakumbukia na nikaona si vibaya nikakumbuka kwa kuzalisha kitu hiki kizuri kila itakapofika siku kama ya leo nikumbukie vitu viwili kuzaliwa mimi na kuzaliwa hii blog hapa!
NAPENDA KUKUKARIBISHA ILI TUSHIRIKI PAMOJA!
Bila wewe niseme ile ukweli siwezi kufikia lengo,siwezi kufanya mwenyewe bila ushirika wako..
nnachokuomba tusafiri pamoja katika safari hii..
Hapa utapata kujua yote yanayohusu Madish nikizungumzia madish nazungumzia yale yote ya bure na kulipia,utapata kuyajua kiundani zaidi na hata utakapohitaji kufungiwa ama kufanyiwa repair hapa wataalam wapo wa uhakika!
Kwa maelezo zaidi piga namba +255658046655
Mustapha MaDish

Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita