Mustapha MaDish nikiwa Azam tv HQ
Niseme tu ukweli katika ujio wa ving'amuzi vyote Tanzania huu ni ujio tofauti sana,kwa maana kabla ya kuanza kuuza wadau wamekuwa na shauku ya kutaka kununua bila kujua nini kilichopo ila tu wanaamini itakuwa king'amuzi bora kuliko ving'amuzi vyote vilivyopo Tanzania ukiweka mbali wakongwe Dstv,sababu kubwa ikiwa ni mmiliki wa hii kampuni kwa kuwa muda mrefu katika biashara si ya ving'amuzi ila biashara nyengine na sifa yake kuu bidhaa bora kwa bei nafuu,hivyo imani ya watanzania ni kwamba unafuu unakuja!!
Swali je Azam tv ni bei rahisi kweli ama magumashi!!??
VIFAA NI TSH 135000/= BILA UFUNDI
Kujua vifurushi Bofya Hapa
Mustapha MaDish kwa site! Niseme tu ukweli katika ujio wa ving'amuzi vyote Tanzania huu ni ujio tofauti sana,kwa maana kabla ya kuanza kuuza wadau wamekuwa na shauku ya kutaka kununua bila kujua nini kilichopo ila tu wanaamini itakuwa king'amuzi bora kuliko ving'amuzi vyote vilivyopo Tanzania ukiweka mbali wakongwe Dstv,sababu kubwa ikiwa ni mmiliki wa hii kampuni kwa kuwa muda mrefu katika biashara si ya ving'amuzi ila biashara nyengine na sifa yake kuu bidhaa bora kwa bei nafuu,hivyo imani ya watanzania ni kwamba unafuu unakuja!!
Swali je Azam tv ni bei rahisi kweli ama magumashi!!??
VIFAA NI TSH 135000/= BILA UFUNDI
Kujua vifurushi Bofya Hapa
Hapa milele
Mkataba
Burudani kwa wote
Mwendo ule ule
Mustapha MaDish ameshafanya yake
Niseme tu ukweli katika ujio wa ving'amuzi vyote Tanzania huu ni ujio tofauti sana,kwa maana hawajaanza kuuza isipokuwa wadau wamekuwa na shauku ya kutaka kununua bila kujua nini kilichopo ila tu wanaamini itakuwa king'amuzi bora kuliko ving'amuzi vyote vilivyopo Tanzania ukiweka mbali wakongwe Dstv,sababu kubwa ikiwa ni mmiliki wa hii kampuni kwa kuwa muda mrefu katika biashara si ya ving'amuzi ila biashara nyengine na sifa yake kuu bidhaa bora kwa bei nafuu!!
Swali je Azam tv ni bei rahisi kweli ama magumashi!!??
Bei ni Tsh.135000/= Unapata Dish,Decoder.lnb,Cable
Swali je Azam tv ni bei rahisi kweli ama magumashi!!??
Bei ni Tsh.135000/= Unapata Dish,Decoder.lnb,Cable
hii inakuwa haina kufungiwa na kufungiwa ni tsh 30,000/=
Baada ya hapo unachagua vifurushi ili upate vifurushi Bofya Hapa
Jibu la maswali yako yoote wasiliana nasi:-
Magomeni Mapipa
+255789476655/659161111/714973797.
Email:mustaphamadish@gmail.com
linapotokea la kuchekesha
Haya kazi ni kwako je ni rahisi ama ghari!!??
Ila
mi nilichopenda kutumia Dish tofauti na baadhi ya ving'amuzi vyengine
wanaotumia Antenna hii inamaanisha watakuwepo nchi nzima na baadhi ya nchi! Jibu la maswali yako yoote wasiliana nasi:-
Magomeni Mapipa
+255789476655/659161111/714973797.
Email:mustaphamadish@gmail.com
linapotokea la kuchekesha