Call / WhatsApp +255673378129

Dec 24, 2013

BONDENI HOTEL TUKIFUNGA AZAM TV

+255789476655 AU +255627985436 HUDUMA HII INAKUFIKIA
 Kuelekea funga mwaka na Azam tv ikiwa inaendelea kufanya vizuri,nasi tukiendelea kutekeleza wajibu wetu kama kawa kama dawa!
Ndani ya Bondeni Hotel ya Magomeni Mapipa Morogoro rd.
Hapa Azam tv nayo ilionekana umuhimu wake!



Dumee akiwa na Mustapha MaDish baada ya kumaliza kufanya yetu!
Share:

Dec 21, 2013

AZAM TV MTEJA WA KWANZA KUFUNGA MKULANGA!

 Njiani kuelekea .......................!!!


Kuelekea funga mwaka kwetu ni mbio tu!!
Leo kazi ya kwanza tumeamkia mkoa Pwani wanapaita Mkulanga,hii mimi ni mara ya pili narejea kufunga Dish ila safari hii Azam tv ikiwa ndo imenirejesha nikiwa na mtaalamu mwenyewe Herman!!
Kiukweli haikuwa tabu na mara nyingi ndivyo inavyokuwa,site ambazo nje ya mji ama mikoani tofauti na Dar es salaam ukifunga Dish katika pisition husika haisumbui kupata signal ila katikati ya jiji ukifunga dish kama si mzoefu lazima itakutafuna!
Hapa Mkulanga ni karibu kabisa na shule ya msingi ya mkulanga,tulitumia saa 1 tu kufunga azam tv na kugeuza mkoa wetu wenye kila aina ya majambo!
Ilikuwa tuingie pale Mbagala ila kwa bahati mbaya mteja wetu wa azam tv alisema anaenda kuangalia mpira hivyo tufanye kesho!
Ratiba haikuishia hapo tukapandisha mpaka mbezi kwa Msuguli hapa tukafanya ya kupendeza then tukachapa mwendo mpaka Mbezi Maramba mawili azam tv ikiwa inaonyesha kuwa watanzania wameielewa!
Baada kuuza kama kawa ratiba ilisema twende kunduchi mtongani lakini kutokana na muda hatuna budi kukubaliana na mipango ya Mungu,hivyo wajibu wetu kupumzika na Inshallah kesho ratiba itaendelea tukianza na vilivyolala!!!
Niwatakie maandalizi mema ya X mass na mwaka mpya wadau huku nikiwashukuru kwa kila hatua ambayo tulikuwa sambamba zaidi ya yote usisahau kuwa hii ni nyumba ya ving'amuzi!
Uliza,Sema,Nunua ama chochote kuhusu kinga'amuzi chochote ukijuacho ama unachokisikia!
Share:

Dec 20, 2013

BAADHI YA CARD ZA ALJAZEERA ZIMEFAIL!

Kuna baadhi ya wateja wa Aljazeera sports wanalia sasa kama si kuhaha na kudhani pengine ndo imeshakula kwao maana wanakosa jibu la uhakika kuhusu card zao! Ukweli ni kwamba kuna baadhi ya card zimefail na tatizo ni la kwao wenyewe na kwa mujibu wao wanalifanyia kazi! Je wewe ni miongoni mwao ama!!?
Share:

Dec 15, 2013

LOCAL CHANNEL ZINAZOPATIKANA DSTV

Awali ilikuwa TBC1 pekee,ambapo baadae ikaongezeka na STAR TV na hivi karibuni CHANNEL 10 nayo imeongeza idadi na kuwa channel 3 za Tanzania zinazopatikana DStv



Share:

Dec 13, 2013

JE NI NCHI NGAPI AMBAZO UNAWEZA KUONA AZAM TV!?

 Niliwahi kupokea simu siku za hivi karibuni kutoka Nairobi,swali likiwa je kama atanunua Azam tv inaweza ikakamata! Jibu la swali hilo ama linalofanana na hilo ni hili kwenye hii picha hapa chini!

 Angalia kwa umakini nchi ambazo ukifunga Azam tv inakamata kama upo Dar es salaam!
Kwa maelezo zaidi usisite: +255789476655/714 973797/659161111            


Share:

Dec 12, 2013

NATAFUTA MAFUNDI WAZURI WA KUFUNGA SATELLITE DISH ANTENNA

Hili ni swali ambalo nahisi hata wewe unajiuliza katika walio wengi baada ya kushindwa kujua wapi mtapata mafundi wazoefu wa kufunga dish antenna aina zote!
Swali lako limepata jibu,tena jibu lililo sahihi kabisa!
Hapa ndipo mahali pake!
Tunafunga Dish Antenna aina zote kama DStv,Azam tv,Zuku,Aljazeera,Abudhab,Channel za bure!
Tumebobea kufunga kwenye kwenye Hotel,Apartment,Office na Majumbani.
Pia tunauza vifaa vyote vinavyohusiana na Dish kama Receiver,LNB,Cable,Dish kubwa na ndogo,n.k.
Wakala wa DStv,Azam tv,Zuku,Ting.
Tupo Dar es salaam,Morogoro rd Mgomeni Mapipa.
Mobile:+255659161111
Office:+255789476655






Share:

Dec 9, 2013

MAFUNDI WA AZAM TV KAZINI

 King'amuzi kipya ila kimeteka wadau wengi kutokana na ubora wake achilia mbali urahisi wa kununua!
Tunasahau vile ving'amuzi vinavyotumia Antenna vinavyolalamikiwa kila kukicha kwa kukata kata picha!
Azam tv ukiacha sifa ya kutumia Dish,Decoder zetu pia ni HD picha unaiona kama ilivyo!
Kuunganishwa ni Tsh 177500/=
Unapata Decoder,Dish,Cable na Kufungiwa!
Ili uone itakulazimu ulipie malipo ya mwezi ambapo ni Tsh 12,500/=
Unapata jumla ya channel 52
Zikiwemo na za Tanzania!
+255789 476655/659161111/714973797

 Herman kazini

 Usiulize tena...

 Hapa tumeshauza

Kuna nini tena kama sio maufundi!

 Dr MaDish akifanya yake





Share:

Dec 6, 2013

AZAM TV INAPOPATIKANA

Leo tarehe 6/12/2013 tumeanza rasmi kuuza Azam tv Tanzania nzima.
Pengine unajiuliza bei gani?
Ina channel ngapi?
Channel zipi?
Wapi utaipata azam tv?
Bei ni Tsh 135,000/= Full Installation ( Bei ya zamani hii )
KUJUA BEI MPYA YA KUNUNUA KING'AMUZI Bofya Hapa
Nikiwa na maana unapata:-
Decoder
LNB KU
Cable mt20
Dish KU
Kufungiwa.
Kwa mwezi ni Tsh 12,500/=
Ina channel 52 kwasasa!
Ambazo ni:-
  1. Clouds tv
  2. TBC
  3. Channel 10
  4. Azam one
  5. Azam two
  6. Citizen tv
  7. K24
  8. NTV
  9.  ZBC
  10. KTV
  11. NBC
  12. Bukedde tv2
  13. Urban tv
  14. MBC1
  15. MBC2
  16. MBC3
  17. MBC4
  18. MBC Action
  19. MBC Max
  20. MBC Drama
  21. MGM Movies
  22. Etv Africa
  23. African Movie
  24. MTV base
  25. Box tv
  26. Landscape
  27. Setanta Africa
  28. My Sport channel
  29. MS Compact Sports
  30. National Geo
  31. Discovery Science
  32. Discovery INve
  33. Fine Living
  34. Outdoor Channel
  35. BBC News
  36. Al jazeera New Engl
  37. Al jazeera New Arab
  38. Al jazeera Kids
  39. Times Now
  40. Nickelodeon
  41. Kids co.
  42. Al arabiya
  43. Wanasah
  44. Star Plus Me
  45. Colours
  46. Zoom
  47. Star Gold Int
  48. Zee Cinema
  49. Zing
  50. MTV India
  51. Sinema zetu
  52. Info
KUJUA VIFURUSHI & CHANNEL ZILIZOPO KWASASA Bofya Hapa 
Mustapha MaDish

Azam tv inapopatikana:
Dar es salaam
Morogoro rd,Magomeni Mapipa.
Office: +255789476655
Burudani kwa wote

Share:

Dec 5, 2013

MUSTAPHA MADISH CREW TUKIFANYA YETU

Matakwa ya mteja ndo wajibu wetu ukizingatia mteja kwetu mfalme na ndiye anayetufanya sisi tuendelee kuwepo mtandaoni na maisha kuendelea!

 C babd ft6

 Mwanaume kazini

 Mustapha MaDish

 Angalau sura inaonekana

 Herman Akifanya yake

Alihitaji kuona Channel za kiarabu ya msingi zaidi kwake Oman tv ila zisiwe za kulipia!
Kwakuwa ndio kazi yetu tukatekeleza la mteja!
Kwa kutumia c babd ft 6,Lnb KU,Receiver ya kawaida tu,tukatumia taaluma kumtekelezea mteja wetu kile alichokihitaji!
Tukaweka Oman tv na channels nyengine ambazo ukijumlisha unapata idadi ya channel 100!
zote zikiwa bure pasipo malipo!
Nawe wahitaji huduma zetu?
Yote yanayohusu Dish Antenna,ama Ving'amuzi.
+255714 973797/789476655/659161111
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita