Oct 10, 2010

Sifanyi sababu fulani anafanya ingelikuwa hivyo kitaambo ningelikuwa miongoni mwao,ila mapenzi yangu toka ku moyo zaidi ya yote Vipaji nilivyojaaliwa nataka kuvitendea haki.
Kimbia ukimbiavyo lakini mi nanyata so kama huna pumzi ntakukuta na kukuacha njiani,ntafika nikikungoja kukukaribisha lakini kamwe huwezi kuiba kipaji cha mtu!!
7:44 AM   Posted by Mustapha Hanya with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kuna mtu aliwahi kuniambia pia unatunga mashairi ya music so je ni kweli wafanya hivyo???

Anonymous said...

Je ni member wa kundi lolote la sanaa tuna kundi tulitaka kuwa pamoja kama hauna kundi.

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search