Nov 24, 2010

Huu ndo wakati wa kwenda level 7bu tu wote 2na tambaa na DSTV,ni offer ya ukweli sana kama mzunguko wa money upo...!!
Ambacho unatakiwa kufanya kama wewe ni mpenzi wa Movie hapa ndo maana pake picha mpya ambazo hata unaweza ukatafuta CD zake ukazikosa 7bu ya upya lakini hapa ukaona tena channel zadi ya 4.
Sport hasa wale wapenzi wa mpira hivi ni nani ambaye anakufanya wewe unaona mechi LIVE kama c DSTV.
Na mengineyo meengi huu ndo wakati mzuri kwako,itumie offer hii....!!
Wengi wanataka kujua offer inaisha lini ila ukweli ni kwamba strock ikiisha ndo mwisho wa offer hivyo isije ikakukuta ile ya ningejua...!!
Ukitoa 90,000/= unapata satellite Dish,cable mt20,ku lnb pamoja na installation baada ya hapo itakulazimu uchague package za air time uipendayo then utalipia kila mwezi kadri utumiavyo.
Sharti la offer hii ni lazima malipo ya mwezi either ulipie package ya premiur mwezi 1,Compact miezi miwili,Family miezi mitatu na access miezi minne.
 Ukipitia hapa tunakuja mpaka mlangoni hata pesa unaweza ukalipa baada ya kufungiwa.
BEI MPYA YA VIFURUSHI Bofya Hapa

PIGA +255 789 476 655
8:25 AM   Posted by Mustapha Hanya with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hii inakuwa mpaka lini na je naweza nikalipa 90,000/= then nikafungiwa after 1 week nikalipa air time....??
nipo kibaha hapa.

Mustapha maDish said...

Inategemea na jinsi tutakavyo zungumza....!!

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search