Jul 1, 2012

DSTV OFFER!!!!149,000/=


Kwa Tsha 149,000/= unapata vifaa pamoja na Installations ya single view!!
Then unachagua package uipendayo na kuilipia kwa utaratibu uliowekwa kama ifuatavyo:-
Access $10 - Channels 40. Kama Tsh 16,000.Kwa offer unalipia 4 miezi.
Family $20 - Channels 55. Kama Tsh 32,000.Kwa offer unalipia 3 miezi.
Compact $30 - Channels 60. Kama Tsh 48,000.Kwa offer unalipia 2 miezi.
Compact plus $50 - Channels 70. Kama Tsh 80,000.Utakavyo.
Premiur $80 - Channels 100. Kama Tsh 128,000.Utakavyo.
Unaweza ukapanda na kushuka kutokana na chaguo lako ila kwa offer ni lazima ilipwe kwa utaratibu huu!
Pata huduma fasta na inakufuata mpaka ulipo!!
Piga +255 789476655
Offer ni mpaka kuisha kwa bidhaa!!
KUPATA BEI MPYA YA VIFURUSHI Bofya Hapa

Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

5 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Offer hii inaisha lini!??

mgossy said...

Je unafanya na CCTV camera??

Anonymous said...

Naomba kuuliza kaka mkuu!
Mimi sina dish ila nina king'amuzi cha star tv vp hakiwezi kubeba tv zaidi ya moja?
Je unafanyaje!?

Anonymous said...

Naomba kuuliza kaka mkuu!
Mimi sina dish ila nina king'amuzi cha star tv vp hakiwezi kubeba tv zaidi ya moja?
Je unafanyaje!?

allan msay said...

JEE! Antenna nayo Inalipiwa?