Nov 19, 2013

UPO TAYARI KUIPOKEA AZAM TV!!??

Maswali yakiwa ni meeengi kuhusu lini king'amuzi cha Azam tv kitaanza kuuzwa ili wadau waweze kufurahia huduma hii alau jibu limeweza kupatikana ambapo itapelekea wewe kujiapanga kukipokea na kupata kile ulichokuwa unakitarajia!!

Setting zikiendelea!
Taarifa za awali ilikuwa mapema mwezi  huu ilikuwa kwenye majaribio na mwishoni mwa mwezi huu vitaanza kuuzwa na ndivyo itakavyokuwa,mwisho wa mwezi huu mzigo unaanza kuuzwa so kama upo Magomeni ama karibu na Magomeni unaweza kunicheck tu na ukapata Azam tv kama kawa!!
Bei ni 95000/= unapata Dish,Decoder,Cable,LNB na Kufungiwa!
Malipo ya mwezi ni Tsh.12500/=
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

7 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Magomeni sehemu gani mi nipo sinza hapa,nahitaji hii

Anonymous said...

Yap office wapi hapo Magomeni?

Anonymous said...

Tuelekeze Office kaka!

Anonymous said...

Ili niweze kutoa order nafanyaje,nipe utaratibu kaka!

Anonymous said...

Hakika nahitaji wapi office?

Anonymous said...

Kaka weka full address ili wadau tuweze kufika hapo ofisini,hitajiko la wengi hyo kitu!

Anonymous said...

Mbona kama wanasua sua x mwisho wa mwezi x tarehe tano leo tena tarehe sita vipii!!??