Oct 7, 2014


Swali limekuwa nawezaje kupata star tv kwenye king'amuzi cha azam tv!!??
Na hii imetokana na baadhi ya wengine kupata star tv kwenye king'amuzi cha azam tv..
Je star tv wameungana na azam tv!!??
Jibu ninaloweza kuwapa ni kwamba star tv haijaungana na azam tv,badala yake kutokana na uwezo wa fundi unaweza ukapata star tv kwenye king'amuzi cha azam tv..
N.B:Kutokana na uwezo wa fundi!
Soon nitawaletea picha ni vipi inakaa..

3:08 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kweli niliwahi kuona mahala pia nikashangaa kwangu siipati,nahitaji hiyo star tv nami nna king'amuzi cha azam nijiandae vipi?
Nipo kibaha

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search