Wateja wengi wa DStv wanakumbwa na kadhia hii,kutokujua utaratibu kwa kutaka kuhama kutoka kifurushi kimoja kwenda kingine hivyo kwa post hii utaelewa vema jinsi ya kuhama kifurushi!
Kwanza vijue vifurushi vya Dstv kwa Kubofya Hapa
Ikitokea umelipia kifurushi cha DStv Bomba Tsh 23,500 na mwezi umeshaisha unataka kulipia kifurushi cha DStv Compact Tsh 84,500 unaweza kufanya hivyo kwa kufata utaratibi huu:-
1 - Washa Decoder yako,kisha weka channel namba 200.2 - Lipia Tsh 84,500
3 - Piga nambari 0768988800 ( Atakayepokea mwambie kuwa unahitaji kubadili kifurushi toka DStv Bomba kwenda DStv Compact nae atafanya hivyo na itapokea ndani ya dk 5 tu )
Unaweza kubadili kifurushi kwa kufata utaratibu huu kwa kifurushi chochote kile na unaweza kufanya zoezi hili hata kabla kifurushi chako hakijaisha!
+255789476655
11 Unasemaje..??:
Ikiwa nataka kuhama kifurushi kabla ya ambacho nimelipia nafanyaje?
Nipo hiki cha 51000 nataka kuhamia cha 84500 na toka nilipie hiki yapita kama wiki hivi msaada tafadhali mkuu
Nimelipia hivi karibun nataka kuhamia cha 84500 toka 23500 ipo vipi?
Santeeeeeeh xn
msaada kaka nina dstv decoder nimepewa kina kifulushi cha dstv primium cha 175205 je niatawezaje kuhama kwenda dstv bomba cha tshs 23000? na datas zake sina mwenyewe yupo nje?
msaada kaka nina dstv decoder nimepewa kina kifulushi cha dstv primium cha 175205 je niatawezaje kuhama kwenda dstv bomba cha tshs 23000? na datas zake sina mwenyewe yupo nje?
nataka kuangalia ruyal rubber (mieleka) naona iko s11 nalipia kifurushu cha aina gan?
.
nataka kuangalia ruyal rubber (mieleka) naona iko s11 nalipia kifurushu cha aina gan?
.
Kwani hakuna utaratibu wa kuhama bila kupiga simu ya customer care?nakumbuka ving'amuzi vingine hatupigi simu
Nawezaje kuhama kutoka kifurushi cha 69000 mpaka laki moja na elfu tisa? Ili niweze kuangalia uefa
Kwa nini mteja asihame kifurushi bila kupiga simu
Jins ya kuangalia salio kwenye kingamuz unabonyeza *150 ndo nimeishia apo cjui tena
Post a Comment