Dec 26, 2016

TUNAAGA 2016 | KWA KUJITUMA ZAIDI


Mafanikio hayana njia ya mkato,ukipata kauli za wengi wa liofanikiwa watakwambia njia walipitia na kamwe hakuna njia ya mkato.. nimejifunza kutokutamani mafanikio ya mtu bila kuwa tayari kupitia hatua za kufikia mafaniko..
Mafanikio yanahitaji:-
  • Kupenda unachofanya
  • Kukijua ama jifunze zaidi ili ukijue
  • Kuheshimu na kukitetea unachofanya
  • Kujitoa
  • Kujituma
  • Juhudi binafsi
  • Kujiongeza ( kuwa mbunifu )
  • Kuwa na heshima na Pesa
  • Kutokuwa mnyimi  ama mbinafsi 
  • Na mengineyo...
Nipo kwenye ukanda huu yapata mwaka wa nane sasa nina uzoefu wa kutosha kuhusu makampuni yote ya ving'amuzi Tanzania na watumiaji wake pia ile kiundani zaidi..
Najua nimesaidia wengi ndani na nje ya Tanzania,nimetengeneza BASE kubwa mno mpaka binafsi kama siamini hivii ila hii yote kutokana na Kupenda nilichamua kufanya n nashukuru Alhamdullah!
Mwaka unaishi na tunategemea kuingia mwaka mpya 2017
mimi na team yangu ile mikono salama #FundiMakini tunakuletea kitu kizuri sana kwenye ulimwengu wa Digital Tv... Kubwa tunashukuru kwa uwepo wenu na kutupa moyo zaidi ya yote tunawaahidi kuwaletea vitu vizuri zaidi ili kila mmoja wenu ahufurahie ulimwengu wa Digita Tv!
+255 789476655
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Sijawahi ona kaka mtu anayetumia Technoloque hii ipasavyo kama wewe..
niliwahi kuhudumiwa nawe mwaka juzi na mwaka huu umenihudumia pia through Internet huduma ni nzuri sana na nangoja kuona mazuri zaidi kila la heri mkuu

George Jackson said...

Pa1 Mkuu

George Jackson said...

Safi Mkuu