Jul 18, 2017Pamoja na makampuni ya Ving'amuzi kujitahidi kutoa matangazo lakini bado kila leo wadau mnaangukia katika mikono isiyo rasmi na matokeo yake mnapata usumbusu msiopaswa kuupata!
Leo niwarahisishie kitu kwa wale wateja wapya.. mnaotaka kununua king'amuzi ( Ving'amuzi ) mnapaswa kuzingatia mambo muhimu matano ( 5 ) ili usipate usumbufu kwa Ving'amuzi hivi vilivyo kwenye orodha:-
  Kwa kubofya king'amuzi husika naamini umepata maelezo ya kina na post hii imekuwa msaada mkubwa kwako.. ikiwa umesoma post hii na bado ukapata usumbufu kwenye kununua itakuwa umejitakia mwenyewe!

KWA MAELEZO ZAIDI
+255789476655
1:21 AM   Posted by Mustapha Hanya with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search