Call / WhatsApp +255755949413

Dec 29, 2010

Mbio za funga mwaka ndani ya bwaga moyo.....!!

Tunahesabu siku tu kuelekea mwaka mupya mupya kabisa 2011,huku tukiumalizia malizia mwaka huu 2010,ukiniacha na kumbukumbu nzuri ya kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa kwa namba za kipekee ambazo kamwe hazitajirejea 10.10.10 maana nilizaliwa miaka kadhaa nyuma ikiwa ni tarehe 10 mwezi wa 10.Tukiyaacha hayo leo nipo bwagamoyo na nadhani nitakuwepo huku...
Share:

Dec 28, 2010

Kuelekea 2011 yapi mazuri na ya kupongeza 2010....!!

Kwa kuanza tu naweza nikasema kwa mwaka huu 2010 ni mwaka mgumu sana hasa kwa vijana,yananitoka haya kutokana na mazungumzo yao pale unapokaa nao,maana wenyewe wanakwambia hakuna njia kama milango inazidi kufungwa ili watu wasitoke,hivyo kipindi wao wanasema hivyo sijui wewe unasema aje kuhusu mwaka huu unaoishia.....!!Upande wa kazi banaa jua halikuwa...
Share:

Dec 26, 2010

Boxing day nime7babisha like this......!!!

Ikiwa ni siku 1 baada ya kusherehekea sikukuu ya x-mass,kilichofuata ni kupeana zawadi kwa kwenda mbele nami nina wangu wa kuwapa banaa...!!Unadhani zawadi kwangu itakuwa ni nini kama si ku7bisha ili wengine wafurahie na familia zao na maisha yaweze kusonga mbele kama ilivyo...
Share:

Dec 25, 2010

Near at Bondeni Hotel Magomeni mapipa

Hapa ufundi ukiendelea Mcheza kwao hutunzwa na ndivyo ilivyo kila siku ziendazo kwa mungu,hapa ni Magomeni mapipa yaani ni mitaa ya nyumbani wenyewe wanasema mitaa ya kujidai ni karibu na Bondeni hotel ambayo inaonekana kwa mbele kule yenye rangi nyeupe kwa wenye macho....!!Hapa...
Share:

Dec 24, 2010

Tuanaendeleza mbio kama kawaida....!!

Unaambiwa kimbia kipindi wenzio wanatembea....!!Ila mbio ukimbiazo isije ikawa upo nje ya mstari kiasi kwamba unachoka kabla ya kufika utakapo...!!Mda huo yule aliyekuwa ananyata anakupita kama anamsukuma mlevi vile...!!Nashukuru mpaka kufikia hapa ila kiukweli nipo bize sana...
Share:

Dec 21, 2010

Nawatakia x-mass njema wadau...!!

2010 inaishia na sikukuu nazo ndivyo hivyo zinamalizika malizika kwa mwaka huu...!!Kila mtu,kila nyumba,maofisi nk. watu wana mishe mishe za sikukuu ya x-mass na mwaka mpya,si mbaya nami nikawatakia maandalizi mema mpaka kufikia sikukuu wadau wote popote mlipo...!!La msingi...
Share:

MAFUNDI WA DSTV NA DISH NYENGINE ZA BURE!!

 Je umewahi kukutana na usumbufu wa Mafundi wenye uwezo mdogo ama usumbfu wowote!!?? Je unahitaji kufunga DSTV mpya kwa bei halali bila kuongeza cha juu!!??Je unahitaji kufunga Dish yenye channel za bure na ukaondokana na usumbufu wa kila siku kuita ita fundi!!?    Fund...
Share:

Dec 20, 2010

Zijue channel za nyumbani zinazopatikana kwenye Dish..!!

Hizi ndizo channel za Tanzania zinazopatikana kwenye Satellite Dish,ambayo inaanzia ft6 na kuendelea kwa kutumia C band lnb 1.Unaweza ukajiuliza inakuwaje mtu anafunga dish kwa channel hizo tu,ila ambacho kitakuongezea ni channel za nje zikiwemo habari,movie na mengineyo...!!Idadi...
Share:

Dec 19, 2010

Dish hii haina uwezo....!!

Dish ndogo ( ku satellite dish ) haina uwezo wa kukamata channel zilizopo cband kama kwa mfano channel za Tanzania,pia haina uwezo wa kuondoa chenga zilizopo kwenye Antenna uliyofunga kwa ajili ya local kwani haina muingiliano wowote na channel zilizopo kwenye transmetter zaidi...
Share:

Watu wanavyotafuta pesa......!!!

Ili mkono uende kinywani na hata ukikosa kicheko basi likutoke tabasamu ni lazima pesa zikutembelee,hata zikiwa za msimu na kwa kulijua hilo ndo maana watu wanaamka asubuhi wanajituma sana ilihali ankala ipatikane na maisha yaweze kwenda as usually banaa....!!Kipindi wewe unaumia...
Share:

EURO MIND Antenna

Si wanainchi wote ambao wana uwezo wa kufunga Dish ama king'amuzi kutokana na hali ya maisha jinsi ilivyo na kwa upande wa pili pia si channel zote za nyumbani zinazopatikana kwenye Satellite Dish ama hata penye king'amuzi pia,hivyo swala la Antenna linabaki pale pale kwamba...
Share:

KU na minara dam dam....!!

 Lau ingelikuwa nainstall C band hakika ningekesha bila kuwa na single solution cable kwa kuwa kungekuwa na kitu kinaitwa interference maana uwapo mnara either wa simu ama mitambo mitambo Satellite Dish hasa C band linakuwa kama linakingwa hivi ama kupungua uwezo wake wa...
Share:

DSTV OFFER IMEFANYA USIKU KUWA MCHANA...!!

Hapa ni maeneo ya sinza karibu na shule ya msingi GRACE,nyumbani kwa mdada mmoja hivi anafanyia kazi pale tigo mliman city,kutokana na ratiba kuwa ngumu katika kipindi cha offer ikatufanya tufike saa 12 jioni na kutulazimu tusababishe ili watu waone walicholipia na usiku ukatukutia...
Share:

Dec 18, 2010

AV selector

Kuna TV nyingi ambazo zina AV moja ama mbili na mtumiaji akawa ana vya kuchomeka zaidi ya viwili. Mf: ana DVD,Receiver,Decoder,King'amuzi na Game labda,hapo hapo TV yako ina AV moja ama mbili hivyo itakuwa inakulazimu kuchomoa na kuchomeka kila muda ambao unataka kuangalia...
Share:

Segerea ilikuwa pangu pa kavu....!!

Offer bado inaendelea nami nazidi kusababisha watu wafurahie maisha,nilikuwa maeneo maeneo wanapaita segerea ambapo nyuma ya nyumba hizi ndipo ilipo gereza la segerea.....!! Hapa tatizo kubwa lilikuwa ni pa kufunga dish maana nyumba ilikuwa imejengwa kiaina yake,kwa kawaida...
Share:

Dec 17, 2010

IZUNGUKE DUNIA UKIWA NA TV YAKO NYUMBANI.......!!

Unaweza kuona channel ya taifa lolote ambayo ipo katika satellite katika ukanda huu wa Africa mashariki,tunakuwezesha kupata kujua na kuona kila kinachoendelea up to date kana kwamba upo nchi husika,tunakufanya usiichoke TV yako zaidi ya yote utamani kuibeba ba kutembea nayo...
Share:

Dec 13, 2010

Buriani DR REMMY..........!!!

Kiukweli kila kukicha tunapoteza wakongwe katika fani,inasikitisha ila mwisho wa yote inakuwa hatuna jinsi kwa7bu tumezaliwa ni lazima tutakufa isipokuwa tunachogopa ni kutangulia tu....!! Kifo cha DR REMMY kamwe hakitasahaulika na hakuna wa kuziba pengo lake,kila mtu atakumbuka...
Share:

Dec 12, 2010

c channel zote zinazopatikana kwenye Dish

Swali ambalo daily nakutana nalo kwa kila ninapoinstall Dish hasa kwenye makazi ya watu....!! Unafunga dish ndogo channel za Emanuel gospel mtu anaulizia local zinapatikana ngapi...?? Unafunga futi sita local mtu asipoiona C2C anahoji kunani...?? Hivyo ni vema ukajua unachotaka na utakachopata kabla hujahudumiwa....!! Nimegundua ya kuwa wateja design...
Share:

Week end ndo inaishia hivyo...!!

Muda huu ndo week end inaishia kwangu mimi ila najua kwa wengine ndo kwanza wanaamka sasa na kutafuta pa kwenda,ila kiukweli kila mtu na starehe yake............!!! Leo nilikuwa sehemu 1 wanapaita mbezi salasala nika7babisha watu waone DSTV then nikajirejesha home na ndo nipo...
Share:

Dec 10, 2010

ROYAL PUB....!!

Kiukweli mimi sio mpenzi wa mpira ila afanyae vizuri stahili zake pongezi,leo nilikuwa hapa Royal pub ambapo nilifunga DSTV pamoja na projecter si leo ni muda sasa ila leo nilikuwa hapa kuhakikisha mpira wa leo unaonekana vema pasipo kutokea tatizo lolote na ndicho kilichotokea watanzania wameangalia vema jinsi time ya Tanzania iilivyoichakaza Uganda....!!...
Share:

Hali ya hewa c shwari dar.....!!!

Kiukweli ikiwa kijijini wanaomba mvua mjini tunaichukia mvua kwa kuona ya kuwa haina faida yeyote kwetu kutokana na ukweli kwamba shughuli nyingi zinasimama ama kuchelewa kutokana na hali ya mvua ila mwisho wa siku inakuwa haina jinsi sababu ndio kudra ya m'mungu analopanga binadamu hawezi pangua....!!!Kwa upande wa DSTV usishangae upo ndani unaangalia...
Share:

Dec 9, 2010

UHURU DAY ilivyokuwa......!!

Tarehe kama ya leo ila miaka 49 iliyopita hayati mwalimu J.K.Nyerere na viongozi wengine walisababisha siku hii iwe tunaikumbuka kila mwaka na kuifanya siku ya kihistoria,kwanini kwasababu ndo siku tulyopata uhuru toka kwa watawala wetu ambao ni wakoloni,ulikuwa uhuru wa...
Share:

Dec 3, 2010

Mfumuko wa VING'AMUZI Tanzania....!!

Watanzia tulizoea ili picha ya TV ionekane clear na uweze kupata channel za nyumbani na za nje kwa kutumia Decoder/Receiver sambamba na Satellite Dish Antenna,ila sasa ni tofauti maana unaweza ukatumia Decoder na Antenna ukapata channel clear kabisa.Ilianza EASY TV ijapokuwa hawajajitangaza vema ila kiukweli wamekuja vizuri na bado wanafanya vizuri...
Share:

UFUNDI si uchafu bali ni tabia ya mtu.....!!!

Hii inatokana na ukweli kwamba mshangao umekuwa mkubwa sana mtu nikimwambia mimi fundi.....!! hata nikimwambia habari ya kuhusu madish anadhani ya kuwa labda mimi ni sales yaani nitaongea nae then wafungaji wataenda wengine mwisho wa siku inakuwa tofauti na adhaniavyo...!!wananikuta...
Share:

CRDB bank na pita pita zangu....!!!

Katika mwaka huu banaa nimepata wasaa ya kupita pita katika matawi kadhaa ya CRDB bank,nilianzia pale Mliman city branch,nikaja pale Azikiwe branch na leo nipo hapa Mikocheni branch. Hili bana ni tawi jipya,hapa ilifungwa DSTV ila ikawa kesi kubwa ni kupoteza signal,katika...
Share:

Nov 25, 2010

CNZA 2MEREJEA TENA....!!!

Leo nipo pande za cnza karibu kabisa na nilipozaliwa naamaanisha nyumbani,hapa nili install DSTV miezi kadhaa iliyopita ila leo nimerejea tena kuinstall FTA kwa ajili ya local channel na channel za gospel na mambo yalikuwa as usually:- ...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413