Hii ni kwa wateja wapya ambao wanataka kujiunga na azam tv,bei ya vifaa ni tsh 135,000/= hii namaanisha bila ufundi wala kifurushi!
Ili kufurahia huduma za azam tv inakupasa kufata utaratibu huu:-
VIFAA tsh 135,000/=
Inajumuisha Dish ikiwa na LNB,,Decoder ikiwa na smart card,cable mt20.
VIFURUSHI-
Azam pure tsh 12,000/= ch 25+
Azam plus tsh 20,000/= ch 50+
Azam play tsh 25,000/= zaidi ya ch 80
UFUNDI-
Ili ufungiwe inakupasa kulipa tsh 30,000/=
Hapa ndipo pana mvutano kidogo hapa,wateja wengi wanaona tsh 30,000/= ni nyingi na matokeo yake wengiwao wanaikwepa hii kwa kutafuta mafundi wao na kuwalipa chini ya 30,000 ama wanajikuta wanataka kufunga wenyewe matokeo yake wanaishia njiani kisha wanarudi tena kwetu!
Vipo vitu vya kujaribu lakini kitu kama ukijui tuachie tunaokijua,hii ina maanisha mgawanyiko wa kazi,madhara ya kuleta ufundi kufunga dish ikiwa hujui unaweza ukaua LNB ama ukaua Decoder.
1.Faida za kulipa tsh 30,000/= tukufungie sisi-
2.Ikiharibika ndani ya miezi mitatu repair bure.
Chochote kikitokea tunakusaidia kwa 100% kwa wakati.
Ukitaka kujua channels zilizopo kwenye kila kifurushi Bofya Hapa
HUDUMA ZA AZAM TV | MSAADA KIUFUNDI |+255789476655
HUDUMA ZA AZAM TV | MSAADA KIUFUNDI |
6 Unasemaje..??:
vp mikoani hiyo bei ndo hiyo hiyo ama ni kwa dsm pekee. pili, najarb kubofya kufungua channels hiyo link haifunguki
Bei ni kwa mikoa yote Tanzania.
Karibu
Inamaana mteja mpya anapoitaji kinga'amuzi mpya atalipia 99,000/- na kisha kulipia 30,000/- ya ufundi na alipie package anayotaka eg( azam pure) 10,000/- yani jumla 139,000/- sivyo au nimekosea??
Mbona simu haipokelewi jamani??
I have been calling of your mobile number byt response was negatively shocking..
My concern was just to know the current price for AZAM TV full equipped
Is going for how much and can I get them here Dar es salaam? ?
bei ya decoder ya azam kwa sasa ni kiasi gani na hapa mwanza tawi lenu li wapi?? please nijibu kupitia cloudsjuita@gmail.com
Post a Comment