Baada ya ile offer ya tsh 99,000/=
Hii inajumuisha vifaa bila ufundi!
Kisha unachagua kifurushi ukipendacho kati ya hivi:-
1.Bomba package bofya hapa kujua channel zilizopo na bei
2.Family package bofya hapa kujua channel zilizopo na bei
3.Compact package bofya hapa kujua channel zilizopo na bei
4.Compact plus package bofya hapa kujua channel zilizopo na bei
5.Premium package bofya hapa kujua channel zilizopo na bei
KWA MAELEZO ZAIDI +255789476655
TUMEBOBEA KUFUNGA KWENYE:
HOTEL | APARTMENT | OFFICE
4 Unasemaje..??:
Mimi ni mkazi wa Tabora, bahati mbaya sikuwahi kupata ving'amizi vya promotioni lakini sasa wauzaji wa ving'amuzi vya Dstv hapa mjini Tabora wanaviuza kwa bei ya 149,000/= bila ufundi-shs 30,000/= na wala kifurushi!
Tusaidieni, hapa mimi ninazo pesa tasilimu lakini nashindwa kununua kutokana na bei kupandishwa sana.
+255758007420
Julius N. Chapa.
Pole sana ndugu Julius tatizo la ukubwa wa hizo bei ila tutawasaidia kwa kila mkoa kuwatajia mawakala husika ambao wanauza bei stahiki..
Naitwa patrick nipo dar nahitaji decorder dstv bei gani pamoja na fundi.emmail yangu ni.patricklawrence103@gmail.com
Naitwa patrick nipo dar nahitaji decorder dstv bei gani pamoja na fundi.emmail yangu ni.patricklawrence103@gmail.com
Post a Comment