
Ingawaje mikoani na sehemu nyingi tu bado wanauza bei wanazojua wao ila bei elekezi ni tsh 135,000 tu,hii inakuwa bila kifurushi wala ufundi!
Ili ufungiwe itakulazimu kulipia tsh 30,000 tu,ambao itakulinda kwa muda wa miezi mitatu na ikitokea ikasumbua fundi atakuja kumaliza...