Call / WhatsApp +255755949413

Dec 6, 2015

JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI DSTV

Wateja wengi wa DStv wanakumbwa na kadhia hii,kutokujua utaratibu kwa kutaka kuhama kutoka kifurushi kimoja kwenda kingine hivyo kwa post hii utaelewa vema jinsi ya kuhama kifurushi! Kwanza vijue vifurushi vya Dstv kwa Kubofya Hapa Ikitokea umelipia kifurushi cha DStv...
Share:

Dec 5, 2015

EMANUEL TV | TB JOSHUA

 Ni mkristo gani ambaye ni muangaliaji wa tv na haijui Emmanuel tv? ama hamjui TB Joshua? Pastol wa kanisa la mataifa yote.. Emmanuel tv ni tv ambayo ina wapenzi karibu dunia nzima,ni tv kubwa sana ya dini ambayo makao makuu...
Share:

Dec 3, 2015

FUNDI DISH HUJISIKII VIBAYA | KWA UCHAFU HUU!?

 Lawama zimekuwa ni nyingi kuhusu Ving'amuzi kusumbua,ambapo Ving'amuzi vinavyolalamikiwa wala havina usumbufu huo,katika kuchunguza nimegundua ya kuwa mafundi husababisha Ving'amuzi vionekane vinasumbua hata kama havina sifa hiyo ijapokuwa kweli kuna Baadhi...
Share:

Dec 1, 2015

JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI AZAM TV

Wateja wengi wa Azam tv wanakumbwa na kadhia hii,kutokujua utaratibu kwa kutaka kuhama kutoka kifurushi kimoja kwenda kingine hivyo kwa post hii utaelewa vema jinsi ya kuhama kifurushi! Kwanza vijue Vifurushi vya Azam tv kwa kubofya Hapa Ikitokea umelipia kifurushi...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413