Feb 25, 2016
Home »
» OFFER YA DSTV UKINUNUA UNAPATA...
OFFER YA DSTV UKINUNUA UNAPATA...
Je unahitaji kujiunga na DStv hii itakuwa inakufaa zaidi kwa maana hapatakuwa na kisingizio tena ipo hivii:-
Kama unahitaji kujiunga kwa maana kununua ni tsh 79,000/= bila ufundi ila ndani yake kuna kifurushi cha Compact sijui nimeeleweka hapa!!??
Na kwa wale wateja wa zamani ukinunua kifurushi cha Compact kwa tsh 84,500 utapata kuona mpira live nazungumzia EPL,LALIGA na EURO 2016!
kutaka kujua vifurushi vingine vya DStv usiwe mvivu Bofya Hapa
0 Unasemaje..??:
Post a Comment