Mafundi wa uhakika wa king'amuzi chako unachotumia limekuwa tatizo kubwa hasa kwa baadhi ya maeneo,hii imepelekea baadhi ya wateja kuona yakwamba king'amuzi anachotumia ni tatizo kwakuwa hakupata Fundi makini ambaye angeweza kumfungia ama kumrekebishia ipasavyo.. Matokeo yake picha kuganda ganda ama kupotea ni jambo la kawaida sana..
Fundi Makini anapaswa kuwa na vifaa vilivyo kamilika ukiachilia spana zote muhimu pia anapaswa kuwa na Drill machine kwa ajili ya kutombolea na kingine anapaswa kuwa na kifaa cha kutafutia Signal ambacho kinaitwa Signal Finder!!
Fundi Makini akikufungia ama kukurekebishia atakupa uhakika wa miezi mitatu,maana yake ndani ya miezi mitatu baada ya kukitibu king'amuzi chako kikisumbua atakuja na kukurekebishia bure pasipo malizo yeyote!
Fundi Makini akikufungia ama kukurekebishia atakupa uhakika wa miezi mitatu,maana yake ndani ya miezi mitatu baada ya kukitibu king'amuzi chako kikisumbua atakuja na kukurekebishia bure pasipo malizo yeyote!
Fundi Makini ni mwepesi kuja pale unapomuhitaji,tofauti na akina Fundi Kalipua ambao huwa ni ngumu sana kurudi ambapo ameshafanya kazi chafu!
Unatumia King'amuzi gani!!??
Kutana na Fundi wako hapo chini:-
Msaada zaidi wasiliana nasi:- Call 0784378129Whatsapp / Call 0658046655
5 Unasemaje..??:
Mbona hakuna mafundi wa ving'amuzi vyengine mi nina shida na mafundi wa Continental mkuu vipi hapo?
Hi to all, how is everything, I think every oone is getting more from this site, and
your views are pleasant designed for new visitors.
Nhitaji Fundi wa Dishi la azam tv ikiwezekana sasa hiv Dishi langu limepoteza signal nipo tabata
Useful information. Luchky me I discovered your website accidentally, and I'm
surprised why this twist off fate did nnot happened earlier!
I bookmarked it.
No matter if some one searches for his essential thing, so he/she desires to be
available that in detail, thus that thing is maintained ove here.
Post a Comment