
Kumekuwa na wingi wa mafundi wa kufunga madishi, ni vizuri kutokana na fursa iliyopo, wingi wa visimbuzi na watumiaji pia! Tatizo ni kupata mafundi wazuri, mafundi ambao wataweza kukufungia ama kufanya repair dish yako na ukafurahia huduma!Mafundi wa kufunga visimbuzi...