Kiukweli mimi sio mpenzi wa mpira ila afanyae vizuri stahili zake pongezi,leo nilikuwa hapa Royal pub ambapo nilifunga DSTV pamoja na projecter si leo ni muda sasa ila leo nilikuwa hapa kuhakikisha mpira wa leo unaonekana vema pasipo kutokea tatizo lolote na ndicho kilichotokea watanzania wameangalia vema jinsi time ya Tanzania iilivyoichakaza Uganda....!!...
Dec 10, 2010
Hali ya hewa c shwari dar.....!!!
Kiukweli ikiwa kijijini wanaomba mvua mjini tunaichukia mvua kwa kuona ya kuwa haina faida yeyote kwetu kutokana na ukweli kwamba shughuli nyingi zinasimama ama kuchelewa kutokana na hali ya mvua ila mwisho wa siku inakuwa haina jinsi sababu ndio kudra ya m'mungu analopanga binadamu hawezi pangua....!!!Kwa upande wa DSTV usishangae upo ndani unaangalia...
Dec 9, 2010
UHURU DAY ilivyokuwa......!!

Tarehe kama ya leo ila miaka 49 iliyopita hayati mwalimu J.K.Nyerere na viongozi wengine walisababisha siku hii iwe tunaikumbuka kila mwaka na kuifanya siku ya kihistoria,kwanini kwasababu ndo siku tulyopata uhuru toka kwa watawala wetu ambao ni wakoloni,ulikuwa uhuru wa...
Dec 3, 2010
Mfumuko wa VING'AMUZI Tanzania....!!
Watanzia tulizoea ili picha ya TV ionekane clear na uweze kupata channel za nyumbani na za nje kwa kutumia Decoder/Receiver sambamba na Satellite Dish Antenna,ila sasa ni tofauti maana unaweza ukatumia Decoder na Antenna ukapata channel clear kabisa.Ilianza EASY TV ijapokuwa hawajajitangaza vema ila kiukweli wamekuja vizuri na bado wanafanya vizuri...
UFUNDI si uchafu bali ni tabia ya mtu.....!!!

Hii inatokana na ukweli kwamba mshangao umekuwa mkubwa sana mtu nikimwambia mimi fundi.....!! hata nikimwambia habari ya kuhusu madish anadhani ya kuwa labda mimi ni sales yaani nitaongea nae then wafungaji wataenda wengine mwisho wa siku inakuwa tofauti na adhaniavyo...!!wananikuta...
CRDB bank na pita pita zangu....!!!

Katika mwaka huu banaa nimepata wasaa ya kupita pita katika matawi kadhaa ya CRDB bank,nilianzia pale Mliman city branch,nikaja pale Azikiwe branch na leo nipo hapa Mikocheni branch.
Hili bana ni tawi jipya,hapa ilifungwa DSTV ila ikawa kesi kubwa ni kupoteza signal,katika...
Nov 25, 2010
CNZA 2MEREJEA TENA....!!!

Leo nipo pande za cnza karibu kabisa na nilipozaliwa naamaanisha nyumbani,hapa nili install DSTV miezi kadhaa iliyopita ila leo nimerejea tena kuinstall FTA kwa ajili ya local channel na channel za gospel na mambo yalikuwa as usually:-
...
Nov 24, 2010
Offer ya DSTV sawa na bure.....!!!

Huu ndo wakati wa kwenda level 7bu tu wote 2na tambaa na DSTV,ni offer ya ukweli sana kama mzunguko wa money upo...!!
Ambacho unatakiwa kufanya kama wewe ni mpenzi wa Movie hapa ndo maana pake picha mpya ambazo hata unaweza ukatafuta CD zake ukazikosa 7bu ya upya lakini...
GREEN ACRES BULDING ILIVYOKUWA....!!

Hapa c mahali pa geni kwa wakazi wa Dar es salaam ijapokuwa jengo hili halina muda mrefu sana toka kujengwa,hapa kuna office tofauti tofauti na ambacho kimetokea nilitakiwa ku7babisha watu waangalie TV kwani kuna fundi alikuwa ameinstall Satellite Dish,ambayo ni c band...
MAGOMENI MAPIPA ILIKUWA MKAZUZU...!!

Najisikia vizuri pale ninapofanya mazuri ninapokuwa viwanja vya nyumbani ama kufanya kazi na watu ambao still ndo wanaonizunguka daily.....!!Leo wadau nimeibukia pande za kitaa,hapa nili install GTV enzi za uhai wake na baada ya kufa nikabadili na kuwa channel za free za mbc,hiyo...