Maswali yakiwa ni meeengi kuhusu lini king'amuzi cha Azam tv kitaanza kuuzwa ili wadau waweze kufurahia huduma hii alau jibu limeweza kupatikana ambapo itapelekea wewe kujiapanga kukipokea na kupata kile ulichokuwa unakitarajia!!
Setting zikiendelea!
Taarifa za awali ilikuwa mapema mwezi huu ilikuwa kwenye majaribio na mwishoni mwa mwezi huu vitaanza kuuzwa na ndivyo itakavyokuwa,mwisho wa mwezi huu mzigo unaanza kuuzwa so kama upo Magomeni ama karibu na Magomeni unaweza kunicheck tu na ukapata Azam tv kama kawa!!
Bei ni 95000/= unapata Dish,Decoder,Cable,LNB na Kufungiwa!
Malipo ya mwezi ni Tsh.12500/=
Malipo ya mwezi ni Tsh.12500/=