
Kwa wateja wapya hii inawahusu sana,muda ambao mamlaka ya mapato tanzania imepandisha bei ya kodi kwenye $,jambo lililopelekea pia kupanda kwa gharama za malipo ya mwezi ya vifushi vya ving'amuzi vyote.
Kwa kulizingatia hilo Multichoice Tanzania imeonelea ipunguze gharama...