Wewe ni mteja wa Zuku tv!?
Una tatizo la kiufundi ama unahitaji Ushauri wa kiufundi?
Kupata mawasiliano ya Mafundi wa uhakika..
Je unataka kujiunga na Zuku Tv?
Unataka kupata Mafundi wa uhakika na wazoefu?
Piga +255789476655
Ukifungiwa nasi:-
Unapata...
Sep 4, 2016
Aug 1, 2016
JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI STARTIMES

Wateja wengi wa Startimes wanakumbwa na kadhia hii,kutokujua utaratibu kwa kutaka kuhama kutoka kifurushi kimoja kwenda kingine hivyo kwa post hii utaelewa vema jinsi ya kuhama kifurushi na utaondokana na ile adhabu ya kufanya malipio kwa lengo la kupata mwezi mzima matokeo...
Jul 30, 2016
BEI MPYA YA VIFURUSHI VYA ZUKU TV TANZANIA 2016

Kifurushi cha Smart Plus kimeongezeka huku beo zikiwa pungufu kwa baadhi ya vifurushi pia,mabadiliko hayo ni kama ifatavyo:-
1-ZUKU SMART PACK
Ina channel 30 tv safi.
Channel 18 radio.
+ Channel za Tanzana.
Malipo Tsh 8,999 kwa mwezi.
Bofya Hapa kujua channel...
Jul 1, 2016
KUEPUKA DISH YAKO KUPATA KUTU

Niwe mkweli katika hili usipopata fundi makini uwezekano wa kuepuka hili ni mdogo sana vinginevyo muhusika uwe makini sana na Fundi wako ingawaje mara nyingi muhusika inakuwia vigumu kuona jinsi fundi wako alivyofunga Dish huko juu ya paa!!
Sababu zinazopelekea Dish kupata...
Jun 30, 2016
KUFUNGA DISH NDOGO ( KU DISH INSTALLATION )
Mustapha MaDish10:39 AMAntenna ya StarTimes, Continental, Digitek, Dstv, mafundi wa azam tv, Mafundi wa Ting, Zuku technical support
5 comments

Kwakuwa karibu Ving'amuzi vyote Tanzania vinatumia Dish ndogo leo niwape kasomo haka alau mwenye kujaribu na ajaribu atakapopata wasaa!!
Fanya haya ili uweze kufunga Dish ndogo:-
1.Dish Antenna Assembly:
- Unganisha kifaa kimoja kimoja kama karatasi ya maelekezi inavyoonyesha...
Jun 16, 2016
UNAANGALIAJE MPIRA BILA KULIPIA/MALIPO NAFUU!
Mustapha MaDish10:56 AMazam media, bein sports, canal sports, DStv Africa, dstv ya kuchakachua, qsat
4 comments

Wadau/Wateja wa ving'amuzi wakubwa ni wapenzi wa mpira hii ilikuwa hata kabla Tanzania haijaingia katika makubaliano ya kati ya zile nchi zilizoachana na mfumo wa Analogue tv na kuingia katika mfumo wa Digital tv..Hii inatokana na wapenzi wa mpira kutaka kupata mpira kwa...
Jun 13, 2016
JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI KWENYE KING'AMUZI CHAKO

Pata msaada wa haraka na updates za Visimbuzi instagram @mustaphamadish
Hili ni moja kati ya yale ambayo ni kero kwa watumiaji wa ving'amuzi kutokana na kutokuwa na uelewa wa kutosha na kukosa sehemu ya kupata maelezo ya kina kama hapa!
Swali la kwanza unatumia...
Jun 10, 2016
SI LAZIMA KUTAFUTA FUNDI
Mustapha MaDish6:35 PMMafundi StarTimes, mafundi wa azam tv, Mafundi wa Continental, Mafundi wa DStv, Zuku technical support
1 comment

Nilikwishasema na leo narejea tena inapotokea king'amuzi chako hakionyeshi la kufanya kwanza Bofya Hapa ukiona bado huelewi hebu fanya jitihada za kulifikia Dish lako ama Antenna yako!! Sasa kama hii Dish fundi atacharge pesa ya signal wakati ilikuwa ni kukata hayo...
May 15, 2016
JINSI YA KUUNGA COAXIAL CABLE ( SIGNAL CABLE )
Mustapha MaDish7:00 AMAzam tv, Continental, Digitek, Dstv, facebook/mustaphamadish, startimes, Ting, Zuku tv
2 comments

Leo nimeonelea tuelekezane jambo hili ambalo limeshakuwa ni tatizo miongoni mwa watumiaji wengi wa ving'amuzi,lengo langu likiwa ni lile lile sote kwa pamoja tuhamie Digital huku tukiwa na ufahamu wa kutosha juu ya ulimwengu huu!
Sio jambo geni kuunga Cable ya Signal,ile Cable...
Apr 15, 2016
AV CABLE NI NINI!?
Mustapha MaDish5:11 AMAntenna ya StarTimes, azam tv decoder, Continental decoder, decoder, Digitek, dstv decoder, Easytv, Flat screen, Zuku kenya
4 comments

A inasimama badala ya Audio - Sauti
V inasimama badala ya Video - Picha
Zinakuwa nyaya tatu zenye rangi tatu tofauti:-
Nyekundu - Sauti Kulia
Nyeupe - Sauti Kushoto
Nyano - Picha
Hivyo tafsiri nyepesi ni kwamba AV CABLE ni waya unaosafirisha Sauti na Picha kutoka kwenye...