Electric Fence kiwandani.
Electric Fence kwenye Makazi.
Ni katika kuhakikisha sehemu yako na mali zako kiujumla zinabaki salama kwa kuweka ulinzi na mfumo wa ulinzi mmojawapo ni huu wa uzio wa umeme!
Electric fence unaweza ukafunga kwa kutumia aina tatu ya vyanzo...
Kwa wale ambao mpaka leo hamjanunua bado Ving'amuzi,tumeingia msimu mwengine wa Offer ili tu kukuwezesha wewe usie na king'amuzi mpaka leo uweze kununu!
Bei ya Azam tv Bofya Hapa
Bei ya Continental Bofya Hapa
Bei ya DStv Bofya Hapa
Bei ya Digitek Bofya Hapa
Bei ya StarTimes...
Hapa ni kwenye jengo la Dar Free Market.
Hizi ni baadhi tu ya dishi zilizopo hapa,kutokana na taaluma tuliyonayo haikupaswa kufungwa dishi zote hizi...!
Awali ilikuwa Antenna zile za kawaida zilikuwa zinaonekana kama uchafu pindi zikaapo nyingi jengo moja,pia...
PATA OFA YA SABA SABA NA DStv ! Msimu wa maonyesho ya Biashara ya
SabaSaba umewadia rasmi ambapo DStv wanapatikana pale kwenye viwanja
vya SABA SABA wakiwa na OFA za kipekee kwenye Msimu huu. Ni Ofa Kabambe, Ofa ya Kujiunga na DStv kwenye Banda lao la SABASABA ni •...
Wapo ambao walikuwa wanautamani msimu huu wa maonyesho ya saba saba ufike ili waweze kununua mahitaji yao kwa punguzo la bei! Sasa StarTime Tanzania wanakuletea OFFER hii hapa
Katika msimu huu wa Sabasaba pata punguzo la bei la kufa mtu toka StarTimes (8% discount)...
SABA SABA OFA!!!!!
Kwa sasa tunachoangalia ni maonyesho ya saba saba.. kila mtu anataka kujua ni nini kimepunguzwa ili aweze kununua.. King'amuzi cha Azam tv kimekuletea Offer hii hapa! Nunua kinga'muzi kwa shilingi 140,000 nasi tunakuzawadia kifurushi kikubwa cha 28,000...
Waislamu tupo ukingoni katika kukamilisha moja ya nguzo muhimu katika dini yetu kama ambavyo tumeongozwa kutekeleza..
Leo ni chungu cha 28,bado siku moja ama mbili ili tumalize mfungo na tuingie kwenye Sikukuu ya Idd...
Nichukue nafasi hii kuwatakia kila la heri katika...
Hii ni fulsa pekee kwa watumiaji wa Ving'amuzi Tanzania lengo likiwa ni moja tu wote kuwafanya muweze kuhufurahia ulimwengu wa Digital tv!
SWALI: Ni nini kinachokuudhi kuhusu king'amuzi unachotumia? Ili yaweze kufanyika maboresho na uweze kufurahia matangazo kama ambavyo...
Siku zote tunasisitiza huduma bora bila kubagua uwezo wa wadau wetu ama sehemu uliyokuwepo ingawaje lawama zilikuwa nyingi kwa kuwapa ugumu wadau wetu ambao mlikuwa mnatuhitaji mliopo nje ya Dar es salaam
Kwa sasa ni rahisi sana kupata huduma zetu ukiwa mkoa wowote Tanzania...