
"Kwenye Kisimbuzi ( King'amuzi ) kinachotumia Dish kufunika lnb kwa
KOPO hakusaidii chochote katika kufanya Kisimbuzi chako kisisumbue
wakati wa MVUA..." Tukirejea nyuma kidogo hata waliotengeneza SET ya dish waliangalia kama maisha ya dish ni ya kukutana na mvua na...