Call / WhatsApp +255755949413

Jul 30, 2016

BEI MPYA YA VIFURUSHI VYA ZUKU TV TANZANIA 2016

Kifurushi cha Smart Plus kimeongezeka huku beo zikiwa pungufu kwa baadhi ya vifurushi pia,mabadiliko hayo ni kama ifatavyo:- 1-ZUKU SMART PACK Ina channel 30 tv safi. Channel 18 radio. + Channel za Tanzana. Malipo Tsh 8,999 kwa mwezi. Bofya Hapa kujua channel...
Share:

Jul 1, 2016

KUEPUKA DISH YAKO KUPATA KUTU

Niwe mkweli katika hili usipopata fundi makini uwezekano wa kuepuka hili ni mdogo sana vinginevyo muhusika uwe makini sana na Fundi wako ingawaje mara nyingi muhusika inakuwia vigumu kuona jinsi fundi wako alivyofunga Dish huko juu ya paa!! Sababu zinazopelekea Dish kupata...
Share:

Jun 30, 2016

KUFUNGA DISH NDOGO ( KU DISH INSTALLATION )

Kwakuwa karibu Ving'amuzi vyote Tanzania vinatumia Dish ndogo leo niwape kasomo haka alau mwenye kujaribu na ajaribu atakapopata wasaa!! Fanya haya ili uweze kufunga Dish ndogo:- 1.Dish Antenna Assembly: - Unganisha kifaa kimoja kimoja kama karatasi ya maelekezi inavyoonyesha...
Share:

Jun 16, 2016

UNAANGALIAJE MPIRA BILA KULIPIA/MALIPO NAFUU!

Wadau/Wateja wa ving'amuzi wakubwa ni wapenzi wa mpira hii ilikuwa hata kabla Tanzania haijaingia katika makubaliano ya kati ya zile nchi zilizoachana na mfumo wa Analogue tv na kuingia katika mfumo wa Digital tv..Hii inatokana na wapenzi wa mpira kutaka kupata mpira kwa...
Share:

Jun 13, 2016

JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI KWENYE KING'AMUZI CHAKO

Pata msaada wa haraka na updates za Visimbuzi instagram @mustaphamadish Hili ni moja kati ya yale ambayo ni kero kwa watumiaji wa ving'amuzi kutokana na kutokuwa na uelewa wa kutosha na kukosa sehemu ya kupata maelezo ya kina kama hapa! Swali la kwanza unatumia...
Share:

Jun 10, 2016

SI LAZIMA KUTAFUTA FUNDI

Nilikwishasema na leo narejea tena inapotokea king'amuzi chako hakionyeshi la kufanya kwanza Bofya Hapa ukiona bado huelewi hebu fanya jitihada za kulifikia Dish lako ama Antenna yako!! Sasa kama hii Dish fundi atacharge pesa ya signal wakati ilikuwa ni kukata hayo...
Share:

May 15, 2016

JINSI YA KUUNGA COAXIAL CABLE ( SIGNAL CABLE )

Leo nimeonelea tuelekezane jambo hili ambalo limeshakuwa ni tatizo miongoni mwa watumiaji wengi wa ving'amuzi,lengo langu likiwa ni lile lile sote kwa pamoja tuhamie Digital huku tukiwa na ufahamu wa kutosha juu ya ulimwengu huu! Sio jambo geni kuunga Cable ya Signal,ile Cable...
Share:

Apr 15, 2016

AV CABLE NI NINI!?

A inasimama badala ya Audio - Sauti V inasimama badala ya Video - Picha Zinakuwa nyaya tatu zenye rangi tatu tofauti:- Nyekundu - Sauti Kulia Nyeupe - Sauti Kushoto Nyano - Picha Hivyo tafsiri nyepesi ni kwamba AV CABLE ni waya unaosafirisha Sauti na Picha kutoka kwenye...
Share:

Apr 12, 2016

KOPO HALISAIDII CHOCHOTE KWENYE DISH

Leo nimeonelea niongelee hili jambo kwakuwa ukiachilia kuliona sehemu mbali mbali pia nimekuwa nikulizwa kama kuna umuhimu wa wenye ving'amuzi vya madish kuweka makopo?  Jambo la awali la kuzingatia king'amuzi kiwe cha Dish ama Antenna kina namna ya ufungaji wake...
Share:

UMELIPIA NA BADO HUPATI PICHA!?

Hili ni janga kubwa karibia kwa wateja wote wa ving'amuzi vya kulipia,unafanya malipo lakini hupati picha kwa wakti ama hupati picha kabisa! Njia za kufanya ili usipate usumbufu wakati wa kufanya malipo ya mwezi:- > Kabla ya kufanya malipo hakikisha unajua bei ya kifurushi...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413