Call / WhatsApp +255673378129

Jul 5, 2017

KUFUNGA DSTV HOTELINI | DSTV INSTALLATION IN HOTEL

Pengine umeshahi kwenda kwenye Hotel ( nyumba za wageni ) na ukakuta kwenye tv ya chumbani kwako kuna channel za dstv zaidi ya moja na unabadili kupitia remote ya tv husika bila kuona king’amuzi kilipo,mfumo ambao wadau wengi waliutamani uwezekane hata majumbani wanapoishi…!!
Unajenga ama umeshajenga Hotel, Lodge ama Guest na ungependa kufunga king’amuzi cha DStv na kuweza kupata mfumo sahihi kwa wateja wako.. Fuata utaratibu huu:-

  • ·         Piga simu +255789476655 na ujieleze kuhusu jengo lako ili uweze kupata utaratibu  wa awali ( Mf:Kupata wataalamu wa kuja ku survey/Kupata Mafundi,n.k )
  • ·         Unachagua unataka channel ngapi/gani? Idadi ya channel utakazo unazigeuza kuwa Decoder ( Mf: unataka channel 10, unapaswa kununua decoder 10 )
  • ·         Unalipa kutokana na idadi ya tv/room
  • ·         Vifaa muhimu vinavyotakiwa
o   Coaxial Cable
o   Dish pic 1
o   Decoder idadi ya channel utakazo
o   Lnb pic 1
o   Multiswitch
o   Splitter
o   F connectors
o   Male Connector idadi ya tv
o   Signal Amplifier
  • ·         Lazima utenge chumba ( Control room ) ambapo ndipo decoder zote zitafungwa hapo.



Kujua chochote kinachohusu jinsi ya kufunga DStv kwenye Hotel/Lodge/Guest/n.k Tupigie +255789476655


Share:

Jul 1, 2017

ELECTRIC FENCE

Electric Fence kiwandani.

 Electric Fence kwenye Makazi.
Ni katika kuhakikisha sehemu yako na mali zako kiujumla zinabaki salama kwa kuweka ulinzi na mfumo wa ulinzi mmojawapo ni huu wa uzio wa umeme!
Electric fence unaweza ukafunga kwa kutumia aina tatu ya vyanzo vya umeme:-
  • Kwa kutumia Solar
  • Kwa kutumia Betry
  • Kwa kutumia umeme wa kawaida
Siku za usoni nitawafafanulia kwa kila njia na njia ipi ni nzuri zaidi ili uweze kujilinda na kulinda mali zako kiujumla!

Kwa Mahitaji ya kufungiwa Electric Fence, CCTV Cameras na TV System popote ulipo wewe kwa mkoa wowote Tanzania!
Kwa maelezo zaidi +255789476655
Share:

OFFER ZA VING'AMUZI MSIMU WA SABA SABA


Kwa wale ambao mpaka leo hamjanunua bado Ving'amuzi,tumeingia msimu mwengine wa Offer ili tu kukuwezesha wewe usie na king'amuzi mpaka leo uweze kununu!
  • Bei ya Azam tv Bofya Hapa
  • Bei ya Continental Bofya Hapa
  • Bei ya DStv Bofya Hapa
  • Bei ya Digitek Bofya Hapa
  • Bei ya StarTimes Bofya Hapa
  • Bei ya Zuku tv Bofya Hapa

NB:Offer hii ni kama utanunua kwenye viwanja vya sabasaba pekee!
+255789476655
Share:

Jun 26, 2017

ONDOKANA NA WINGI HUU WA MADISH..!

 Hapa ni kwenye jengo la Dar Free Market. 
Hizi ni baadhi tu ya dishi zilizopo hapa,kutokana na taaluma tuliyonayo haikupaswa kufungwa dishi zote hizi...!
Awali ilikuwa Antenna zile za kawaida zilikuwa zinaonekana kama uchafu pindi zikaapo nyingi jengo moja,pia na jinsi zilivyofungwa kutokana na kila mtu na ufundi wake na aina ya Antenna yake..!!
Leo picha ile imehamia kwenye madishi.. si tu kuonekana kama uchafu kwenye jengo moja yanapofungwa madish zaidi ya kumi na mbaya zaidi yote yanaweza kuwa ya kampuni moja..
Na ukija kwenye swala la kiufundi ndipo mwenye jengo ukipata bahati ya kutembelea yalipofungwa hayo madishi utatamani kutoa katazo yasifungwe tena madishi na yaliyokuwepo yatolewe maana wasije wakakuangushi jengo lako....Maana mafundi kina sie tukipewa uwanja wa kujichagulia pa kufunga dishi wee...!!
Sasa solution sisi tunayo ambayo itaondosha wingi ama uchafu wa madishi katika jengo lako..
Tunachofanya ni kufunga dishi moja ambalo litabeba ving'amuzi vya jengo zima..kama ni wapangaji wako watakachopaswa kufanya wao ni kuja na ving'amuzi vyao tu na wanapohama wanahama na ving'amuzi vyao tu...
Hii unaionaje..!?
Kwa maelezo zaidi tupigie:
+255789476655
Share:

Jun 25, 2017

OFFER YA DSTV MSIMU WA SABASABA



PATA OFA YA SABA SABA NA DStv !
Msimu wa maonyesho ya Biashara ya SabaSaba umewadia rasmi ambapo DStv wanapatikana pale kwenye viwanja vya SABA SABA wakiwa na OFA za kipekee kwenye Msimu huu.
Ni Ofa Kabambe,
Ofa ya Kujiunga na DStv kwenye Banda lao la SABASABA ni
• Kwa sh. 69, 000 Utaunganishwa na DStv, kifurushi cha DStv Bomba mwezi mmoja BUREE na Ufundi BUREE!
• Kwa sh.100, 000 utaunganishwa na DStv na kupewa kifurushi cha Bomba miezi miwili BUREE pamoja na ufundi BUREE!
• Kwa sh. 300,000 utaunganishwa na DStv na kupewa kifurushi cha Bomba mwaka Mzima BUREE na ufundi BUREE!

Pia kuna OFA ya Dekoda zenye uwezo wa kurekodi vipindi, ‘kurewind’ na ‘kufoward’ – Explora PVR Decoder
• Kwa sh.185, 000 utapata Explora Dekoda na kifurushi cha Compact mwezi 1 BUREE!
• Kwa sh. 270,000 utapata Explora Dekoda, Smart LNB na kifurushi cha Compact mwezi 1 BUREE!
• Kwa sh. 321, 000 utapata Explora Decoder, Smart LNB, Dish na Kifurushi cha Compact mwezi 1 BUREEE pamoja na kuungashiwa BUREE!
Ufanye Msimu huu wa SABA SABA kuwa wenye maajabu kwa Familia yako kupitia vipindi vya kipee na vya kusisimua kwenye DStv! Fika sasa kwenye Banda la DStv SABA SABA uwahi OFA Hizi!

Kwa maelezo zaidi
+255789476655
Share:

Jun 24, 2017

OFFER YA STARTIMES MSIMU WA SABA SABA


Wapo ambao walikuwa wanautamani msimu huu wa maonyesho ya saba saba ufike ili waweze kununua mahitaji yao kwa punguzo la bei! Sasa StarTime Tanzania wanakuletea OFFER hii hapa
Katika msimu huu wa Sabasaba pata punguzo la bei la kufa mtu toka StarTimes  (8% discount) katika kila bidhaa zetu... Fika katika Duka letu mkabara na Tbc Offer kedekede zipo kwa ajili yako mteja wetu mpendwa... Karibu sana!
Kwa maelezo zaidi
+255789476655
Share:

Jun 23, 2017

OFFER YA AZAM TV MSIMU WA SABA SABA


SABA SABA OFA!!!!!
Kwa sasa tunachoangalia ni maonyesho ya saba saba.. kila mtu anataka kujua ni nini kimepunguzwa ili aweze kununua.. King'amuzi cha Azam tv kimekuletea Offer hii hapa!
Nunua kinga'muzi kwa shilingi 140,000 nasi tunakuzawadia kifurushi kikubwa cha 28,000 kwa miezi miwili bureeeee

Fika kwenye Banda letu la Azam TV sabasaba na ofa hii ni yako.
Ofa hii ni kwa kipindi chote cha sabasaba kuanzia sasa!!!
Vigezo na Masharti kuzingatiwa


Kwa maelezo zaidi
+255789476655
Share:

Jun 22, 2017

TUNAWATAKIA SIKUKUU NJEMA NDUGU ZETU !!


Waislamu tupo ukingoni katika kukamilisha moja ya nguzo muhimu katika dini yetu kama ambavyo tumeongozwa kutekeleza..
Leo ni chungu cha 28,bado siku moja ama mbili ili tumalize mfungo na tuingie kwenye Sikukuu ya Idd...
Nichukue nafasi hii kuwatakia kila la heri katika kumalizia mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan na kusherehekea vema sikukuu..
 Na salamu hizi zinatolewa na MADISH TECHNOLOGY kwa ujumla!
Pamoja na salamu hizi pia tunawashukuru kuendelea kuwa pamoja nasi..
Tunathamini uwepo wetu na tunafanya kila njia kukidhi matakwa yenu bila ninyi wala tusingefika hapa..Tusherehekea sikukuu kwa amani na utulivu..!!
Share:

Jun 21, 2017

NINI KIBORESHWE KWENYE KING'AMUZI UNACHOTUMIA?


Hii ni fulsa pekee kwa watumiaji wa Ving'amuzi Tanzania lengo likiwa ni moja tu wote kuwafanya muweze kuhufurahia ulimwengu wa Digital tv!
SWALI: Ni nini kinachokuudhi kuhusu king'amuzi unachotumia? Ili yaweze kufanyika maboresho na uweze kufurahia matangazo kama ambavyo ulitarajia!
Hii ni kwa Ving'amuzi vyote iwe:-
  • Azam tv
  • Continental
  • Digitek
  • DStv
  • Startimes
  • Ting
  • Zuku tv
KWA MAELEZO ZAIDI +255789476655
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita