Wingi wa makampuni ya visimbuzi imekuwa fursa kwa vijana wengi kuwa mafundi, ni jambo zuri ila nawasihi mzingatie kujifunza ili kufanya kazi kwa ustadi..Haya ni baadhi ya makosa ambayo yanafanywa na mafundi wengi wakati wa kufunga kisimbuzi cha dish..&nb...
Jan 23, 2023
MAFUNDI WA DSTV TANZANIA

Kumekuwa na wingi wa mafundi wa kufunga madishi, ni vizuri kutokana na fursa iliyopo, wingi wa visimbuzi na watumiaji pia! Tatizo ni kupata mafundi wazuri, mafundi ambao wataweza kukufungia ama kufanya repair dish yako na ukafurahia huduma!Mafundi wa kufunga visimbuzi...
Jan 1, 2023
MAFUNDI WA AZAM TV TANZANIA

Kumekuwa na wingi wa mafundi wa kufunga madishi, ni vizuri kutokana na fursa iliyopo, wingi wa visimbuzi na watumiaji pia! Tatizo ni kupata mafundi wazuri, mafundi ambao wataweza kukufungia ama kufanya repair dish yako na ukafurahia huduma!Mafundi wa kufunga visimbuzi...
Oct 10, 2022
CODE ZA VISIMBUZI TANZANIA

Kila kisimbuzi kina CODE yake katika kurahisisha mteja kuweza kujihudumia mwenyewe pasipo kuwasiliana na huduma kwa wateja, kutokana na ukweli kwamba kuna huduma nyengine sio lazima upige simu, hivyo tumia CODE hizi kwa kubofya kwenye simu yako kisha itakuletea muongozo...
Oct 6, 2022
CHANNEL GANI UNAITAKA KWENYE TV YAKO!?

TV inaweza ikakufanya uizunguke dunia.. popote utakapotaka kujua yanayojiri unaweza ukayajua ukiwa na remote yako tuu.. maamuzi ni yako..Tuambie channels gani ama channels za nchi gani unataka kuangalia!?Tutakwambia inapatikanaje na tutaifungaje!?Check nasi WhatsApp +...
Feb 28, 2020
Je LNB ikitoboka ndio imekufa!?

Moja kati ya maswali ambayo nimekuwa nikiulizwa mara kwa mara, kila mtu ana namna yake ya kuuliza ila nikiliweka katika mfumo rasmi nimeulizwa Je LNB ikitoboka ndio imekufa!?
Nitakuja niwajuze zaidi...
Jun 9, 2018
MKOA GANI UNAIKOSA OFFER YA DSTV!!??

#DStvnimoto #Kamasiodstvpotezea
Niambie upo mkoa gani na je unaikosa offer mpya ya DStv!!??
Imekuwa kawaida kwa baadhi ya mikoa kuuza visimbuzi kwa bei juu na huku sababu zikiwa nyingi, hii hapa ni nafasi ya pekee kwakon niambie upo mkoa gani na unauziwa bei gani dstv.
Offer...
May 18, 2018
ANGALIA KOMBE LA DUNIA KWA TSH 19,000 TU!

Hapa nazungumzia michuano ya kombe la dunia 2018 itakalofanyika urusi zaidi ya timu 30 kushiriki michuano hii..
Michuano
hii inahusisha dunia hivyo wapenzi wa mpira duniani imeelekeza macho na
masikikio kwenye michuano hii... Hapa kwa Tanzania kuna habari njema
kutoka...
Apr 17, 2018
MAFUNDI WA DSTV
Unapata ujumbe wa E48 kwenye kisimbuzi chako cha DStv!?
Hilo ni tatizo la signal na jinsi la kulitatua, cha kwanza angalia cable inayotoka kwenye dish na kuingia kwenye dish sehemu iliyoandikwa LNB IN ipo sawa haijachomoka!? Kama ipo sawa shida itakuwa kwenye dish hivyo...
Apr 5, 2018
DSTV Tsh 79,000/= | KIFURUSHI BURE | TUNAKULETEA BURE

Baada ya ile Offer kubwa iliyodumu kwa muda mrefu kumalizika..!! Bado Multichoice Tanzania imeona kuna kila sababu ya kuangalia namna ya kuwatafutia punguzo lengine ili muweze kufurahia huduma za DStv na sasa ni hii hapa kwa Tsh 79,000 tu unapata vifaa vyote pamoja na kufungiwa...