Dec 3, 2010

Watanzia tulizoea ili picha ya TV ionekane clear na uweze kupata channel za nyumbani na za nje kwa kutumia Decoder/Receiver sambamba na Satellite Dish Antenna,ila sasa ni tofauti maana unaweza ukatumia Decoder na Antenna ukapata channel clear kabisa.
Ilianza EASY TV ijapokuwa hawajajitangaza vema ila kiukweli wamekuja vizuri na bado wanafanya vizuri maana unapata local channel karibu zote yaani zile zilizo kwenye transmeter na zilizo kwenye satellite,pia unapata channel nyengine za mataifa ya nje yakiwemo habari.( hawa ni wachina )
Hata mwaka bado toka tutamburishwe STAR TIMES nayo ina channel za local ambazo hazifiki hata tano,pia channel za mataifa ya nje yakiwemo habari.( hawa ni wachina na TBC )
Tena imekuja ATN nao wana vinga'amuzi vyao ambao wapo sana kidini.
Hii inaonyesha kwamba kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo ongezeko la ving'amuzi linakuwa kubwa kutahamaki ukitaka TBC ununue king'amuzi,ATN ununue king'amuzi,STAR TV ununue king'amuzi,ITV ununue king'amuzi na nyenginezo......!!
5:16 AM   Posted by Mustapha Hanya with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Nini tofauti kati ya (STARTIMES,DIGITEK, TING na CONTINENTAL) na (DSTV, ZUKU, EASY TV na ving'amuzi vingine kama STRONG)?
Ina maana hawa wengine mbali na waliopewa leseni hawana leseni ya kuuza ving'amuzi au???

Anonymous said...

Nini tofauti kati ya (STARTIMES,DIGITEK, TING na CONTINENTAL) na (DSTV, ZUKU, EASY TV na ving'amuzi vingine kama STRONG)?
Ina maana hawa wengine mbali na waliopewa leseni hawana leseni ya kuuza ving'amuzi au???

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search