Oct 23, 2013

Mustapha MaDish  nikiwa Azam tv HQ
Niseme tu ukweli katika ujio wa ving'amuzi vyote Tanzania huu ni ujio tofauti sana,kwa maana kabla ya kuanza kuuza wadau wamekuwa na shauku ya kutaka kununua bila kujua nini kilichopo ila tu wanaamini itakuwa king'amuzi bora kuliko ving'amuzi vyote vilivyopo Tanzania ukiweka mbali wakongwe Dstv,sababu kubwa ikiwa ni mmiliki wa hii kampuni kwa kuwa muda mrefu katika biashara si ya ving'amuzi ila biashara nyengine na sifa yake kuu bidhaa bora kwa bei nafuu,hivyo imani ya watanzania ni kwamba unafuu unakuja!!
Swali je Azam tv ni bei rahisi kweli ama magumashi!!??
VIFAA NI TSH 135000/= BILA UFUNDI
Kujua vifurushi Bofya Hapa
Mustapha MaDish kwa site!

Hapa milele

 Mkataba

 Burudani kwa wote

 Sehemu sahihi ya wewe kuhudumiwa

 Mwendo ule ule

 Mustapha MaDish ameshafanya yake
Niseme tu ukweli katika ujio wa ving'amuzi vyote Tanzania huu ni ujio tofauti sana,kwa maana hawajaanza kuuza isipokuwa wadau wamekuwa na shauku ya kutaka kununua bila kujua nini kilichopo ila tu wanaamini itakuwa king'amuzi bora kuliko ving'amuzi vyote vilivyopo Tanzania ukiweka mbali wakongwe Dstv,sababu kubwa ikiwa ni mmiliki wa hii kampuni kwa kuwa muda mrefu katika biashara si ya ving'amuzi ila biashara nyengine na sifa yake kuu bidhaa bora kwa bei nafuu!!
Swali je Azam tv ni bei rahisi kweli ama magumashi!!??
Bei ni Tsh.135000/= Unapata Dish,Decoder.lnb,Cable 
hii inakuwa haina kufungiwa na kufungiwa ni tsh 30,000/=
Baada ya hapo unachagua vifurushi ili upate vifurushi Bofya Hapa

  Haya kazi ni kwako je ni rahisi ama ghari!!??
Ila mi nilichopenda kutumia Dish tofauti na baadhi ya ving'amuzi vyengine wanaotumia Antenna hii inamaanisha watakuwepo nchi nzima na baadhi ya nchi! 
Jibu la maswali yako yoote wasiliana nasi:-
Magomeni Mapipa 
 +255789476655/659161111/714973797.
Email:mustaphamadish@gmail.com

 linapotokea la kuchekesha
10:00 AM   Posted by Mustapha Hanya with 34 comments

34 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hivi hawa jamaa wanaanza lini kuruka hewani!?
Mbona za mengi hakuna na star tv ama watakuja kuweka!?

Anonymous said...

Mpira vipi si nilisikia watanunua toka kwa waarabu!!??

Anonymous said...

Kama watakuwa Tanzania nzima itakuwa mzuka sana!

Anonymous said...

Tunataka mpira biya mpira wa nje kabugi

Anonymous said...

Nitanunua ving'amuzi vingapi ah

Anonymous said...

Wakiweka mpira itakuwa imetubamba hasa lakini kwa machannel hayo hapati mtu hapo.

Anonymous said...

si nilisikia wanaanza mwezi huu imekuwaje tena ama hawana uhakika!!?

Anonymous said...

Namuaminia huyu mwarabu ataleta mabadiliko kwa uchafu wa ving'amuzi vilivyopo Tanzania

Anonymous said...

hata yeye hana jipya

stephen Mwaijibe said...

ITV,EATV,Capital tv,Star tv Sibuka tv hakuna sasa ndo nini,huu mfumo wa biashara huria utatuua watu wa hali ya chini

Anonymous said...

All local chanels (itv,eatv,capital,startv ...) should be there, if not =0

Anonymous said...

Ntakupataje nataka kufika hapo muda gani umakuwa kwa office

Othman Omar said...

Ving'amuzi vinapatikana wapi? mawakala wenu wapo wapi?

Othman Omar said...

Mawakala na hivyo ving'amuzi vinapatikana wapi?

Anonymous said...

je hivyo ving'amuz havina njia mbili?

Mustapha MaDish said...

Ving'amuzi ni Single view havina njia mbili!

Anonymous said...

Soka la majuu will it be there in Azam satelite?

Anonymous said...

JE ARUSHA HAVIPATIKANI?

ALIBHAI HABIB said...


HAMNA KITU AZAM KWASABABU SINEMA ZETU KILA MARA ZINARUDIWA RUDIWA NA WATEJA WANA LALA MIKA SANA SI BURA ZUKUMOVI
BY MDAU WA AZAM AKA ALIBHAI PIA HATAN CHANEL ZA DINI HAKUNA BORA MUWEKE HAPO NDIO TUTA WAKAMATA WATEJA WENGI

alibhai habib said...

BORA KUSEMA TU UKWELI KAMA VP FANYENI MKATABA NA BENSPORT HAPO TUTA WAPATA DSTV YANI WOTE WATAA MIA AZAM BILA YA HIVYO HAMNA KITU

alibhai habib said...

inabidi tuweke chanel za dini na sports mf bensport3 tuta pata wateja wenging sana

Anonymous said...

Mbona sasa imekuwa magumashi kupata king'amuzi cha azam maana nna kama week natafuta sijapata naambiwa hata makao makuu hakuna vipi hukooo!!??

Anonymous said...

Mwarabu mbona hatumuelewi!?

Anonymous said...

Hii ndiye pingamizi kwa dstv na solution kwetu watanzania walala hoi,ila bado maboresho yanahitajika tena kwa haraka zaidi

ras mkongwe said...

Haya bwana

Anonymous said...

Burudani kwa wote sawa ila mbona kwangu ssipati stat tv na kwengine inapatikana!?

Denis Kimolo said...

Mtajiunga lini na Star TV?

Anonymous said...

vip kuhusu ligi ya England na UEFA Champion! na hiyo mlimani tv mtwara haipatikani na Dtv nayo imeyeyukia wapi?

Anonymous said...

nataka kufahamu kwanini baadhi ya chanel za tz hazipo mfano startv,mliman tv sibuka,chanel o,tbc 2 na vipi kuhusu ligikuu ya wingereza

Anonymous said...

hii taabu unaweka pesa lakini haibadiliki sasa hii nini mbona sielewi

Anonymous said...

hii taabu unaweka pesa lakini haibadiliki sasa hii nini mbona sielewi by kitale ukerewe

Anonymous said...

Nimenunua kufurushi cha 20,000 lkn bado napata channels za bure sasa channels zingine zitarudi lini?sijawahi kuchelewa kununua kufurushi Mara nyingi ikibaki siku moja au mbili nanunua kifurushi so sikuwahi kukatiwa channels pliz tel hazichelewi I need to watch movies

gabbymaster said...

GOOD

HAJI KASHORO said...

NINASIKIA MTAKUWA MNAONYESHA MECHI TOKA KATIKA LIGI YA SPAIN KISHA YA ENGLAND, JE HII HABARI NI YA KWELI???

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search