Maeneo ya Mbezi Beach maeneo maeneo hivi yaliyo tulivu sana kwa lugha nyepesi kwa kishua!!Kuna shule ijulikanayo kama MWALIMU JK NYERERE,sasa mimi nilihitajika kwenye nyumba ambayo inatazamana na hii shule,hapa kilichotakiwa mimi nifanye ni kufunga DSTV EXTRA VIEW....!!Kama kawa kama dawa nikapewa nafasi nami nikafanya yangu ila hapa ilinichukua siku...
Jul 28, 2013
ZUKU TV TANZANIA

Offer Tsh 75000/= na mwezi mmoja bure!
Bila ufundi.
Ina zaidi ya channel 100!
Package za zuku:-
Zuku classic Tsh 15,500/= channels 69
Zuku premium Tsh 22,500/= channels 100
Zuku asia Tsh 24,000/= channels 27
Kujua Channels zote zilizo kwenye zuku tv:-
BOFYA HAPA
+255789476655
Mobile:...
Jul 24, 2013
MKOA PWANI WANAPAITA MKULANGA NILIHITAJIKA!!

Hapa banaa ilikuwa nawezaje kufunga dish na nikapeleka tv mbili vyumba tofauti na kila tv inajitegemea kubadili channel aipendayo muhusika anayeangalia tv hiyo!
Mbona si kazi kama mawazo ya wengine yalivy!
Mahitaji Dish husika kwa kuwa waarabu ndio waliohitajika ni c band...
Jul 22, 2013
CHANNEL ZILIZO KWENYE CONTINENTAL DECODER

Channel zinazopatikana katika Decoder ya Continental ni hizi hapa ingawaje hapa sijaorodhesha zote, pindi uhakiki utakapofanyika zote zitaorodheshwa hapa:-
Star e+
Star bun
Star tv
ge
Star Movies+
Morning Star tv
Star Muzik
Afro Culture
ITV
EATV
TBC
Channel...
Jul 21, 2013
OFFER YA DSTV KWA 149,000/=
Ni kawaida kila ikikaribia msimu wa kandanda ama kukiwa na sikukuu DSTV hutoa OFFER kwa wateja wake ambao wanahitaji kujiunga na huduma zao!!
Now ndo muda umewadia kwa wale wote ambao wanataka kujiunga na DSTV na walikuwa wanangoja time hii ya offer imewadia wale mabingwa wa maswali jibu ndo hili kuhusu urahisi wa kujiunga na DSTV!
Wala usipate...
Jul 20, 2013
EMANUEL TV IMENIPELEKA KUNDUCHI 170

Jumapili tulivu hali ya hewa ikiwa haieleweki mara jua mara kiwingu na manyunyu yakichukua nafasi!
Panaitwa Kunduchi ila wenyeji wanapaita Kunduchi 170,hapa ilikuwa wanaona DSTV awali ila kutokana na maamuzi yao wakataka DSTV igeuke na kuwa Emanuel tv nami nikaona hakuna...
Jul 18, 2013
KAZI YANGU KUKUFURAHISHA WEWE!

Kama kawa kama dawa ndo ambacho naweza kusema kwa wakati huu!
Hapa ni maeneo ya Urafiki njia panda pale ya kwenda mabibo!
Hapa Local ilikuwa inasumbua na DSTV pia,hivyo kilichotakiwa nikifanye ndo nikafanya na kuwaacha wenyeji wakicheka cheka tu!
Nikachukua vyangu...
Jul 15, 2013
JUMLA YA CHANNEL 6 TU ZA TANZANIA KWA TV ZAIDI YA 50!

Je wajua unaweza kufunga idadi ya channel utakazo kwa idadi ya tv zako na kila tv ikajitegemea kubadili na kuangalia channel uipendayo pasi kuingiliana na tv nyengine!
Hii x nyingi inafanyika maofisini,mahotelini ama kwenye Apartment ila hata popote upendapo unaweza...
Jul 14, 2013
CHANNEL ZA TANZANIA ZINAKAZIA SWAUMU!

Hapa nawatafuta Watanzania
Yap ni siku nyengine tena tunaamshwa vema na muumba nikiwa na afya njema na nafanya yangu kama kawa!
Nimeamkia sehemu moja wanapaita sinza,hapa nilitakiwa kufanya channel za Local zionekane vema na ndo nilichofanya ingawaje kwa channel za...
Jul 12, 2013
EMANUEL TV channels zaidi ya 50 BURE!!

Inatumia dish ndogo lugha ya kitaalamu inaitwa KU,unapata kuona channel zifuatazo ila nyingi zikiwa za gospel.Vifaa vinavyokamilisha set hii ni:-lnb KU,Receiver,Dish KU,Cable,F connectors.
Channel ZN
CNTV
ACNN
My tv promo
Celebration TV
Bethesda TV
CVV
Omega
ACBN
Chosen...
Jul 5, 2013
BAHARI BEACH LODGE TENA!

Kumbu kumbu yangu ni siku kadhaa nyumba nilifanya ya kupendeza na ndo sababu iliyopelekea nikaitwa tena leo!
Kazi ilikuwa si kubwa sana ijapokuwa kwa asiyejua angemaliza hata mwaka na asingeambulia kitu!
Hapa DSTV ilikuwa time ya jioni inapoteza signal,ila wakati wa asubuhi...